Jumanne, 15 Januari 2019

Nyimbo za dini | Mungu Anatarajia Kupata Imani ya Kweli Ya Mwanadamu na Upendo Kwake

Nyimbo za dini | Mungu Anatarajia Kupata Imani ya Kweli Ya Mwanadamu na Upendo KwakeI

Mungu anatarajia unapoelewa,
unapoelewa upande Wake wa kweli,
utamkaribia Yeye hata zaidi;
utathamini kwa kweli upendo Wake
na kujali Kwake kwa binadamu;
utatoa moyo wako Kwake,
bila kuwa na shaka tena,
bila kuwa na tuhuma kumhusu.
Yeye humfanyia mwanadamu kila kitu, ingiwa hufanya hivyo kimya,
kufanya yote kwa kimya
kupitia unyoofu, uaminifu, na upendo Wake.
Yeye kamwe Hajuti kile Anachofanya;
kamwe Haombi malipo kutoka kwa mwanadamu,
wala Hatarajii kupata chochote kutoka kwao.
Kusudi Lake la pekee katika yote Anayofanya
ni kwa imani ya kweli ya mwanadamu na upendo Kwake.
II
Moyo wako unapojua kweli tabia ya Mungu
na kuwa na tathmini ya kina kwa kiini Chake,
utahisi Mungu akiwa kando yako kabisa,
utahisi Mungu akiwa kando yako kabisa.
Huu ni ukweli!
kutoka katika "Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I" katika Neno Laonekana katika Mwili


kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya


Kuhusu Sisi: Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

0 意見:

Chapisha Maoni