Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Msururu-wa-MV-za-Ufalme. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Msururu-wa-MV-za-Ufalme. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 13 Oktoba 2018

Swahili Christian Music Video | "Ni Watu Waaminifu Pekee Walio na Mfano wa Binadamu" | God Led Me Onto the Right Path of Life

🎼🎼     → → 🎙️🎙️  ↓↓🎻🎻🎻🎻@@@@ swahili gospel music | "Ni Watu Waaminifu Pekee Walio na Mfano wa Binadamu" | God Led Me Onto the Right Path of Life I Kwa ajili ya faida niliacha viwango vyote vya mwenendo, na bila haya nikatumia udanganyifu kutafuta riziki yangu. Sikujali chochote kuhusu dhamiri au maadili,...

Jumamosi, 29 Septemba 2018

Wimbo wa Sifa "Upendo wa Kweli wa Mungu" | Haleluya! Msifuni Mungu! (Korean Song Swahili Subtitles)

🎼🎼     → → 🎙️🎙️  ↓↓🎻🎻🎻🎻~~~💞💞💞 Leo naja mbele ya Mungu tena, naona uso Wake wa kupendeza. Leo naja mbele ya Mungu tena, nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu. Leo naja mbele ya Mungu tena, kufurahia neno Lake kunanijaza na furah...

New Swahili Gospel Worship Song "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwana

🎼🎼     → → 🎙️🎙️  ↓↓🎻🎻🎻🎻~~~💞💞💞💞 Ee Bwana, kanisa limekuwa la ukiwa. Siwezi kuhisi kuwepo Kwako. Uko Wapi? New Swahili Worship Gospel Songs "Mpenzi Wangu, Tafadhali Nisubiri" | Kukaa katika Upendo wa Bwa...

Ijumaa, 20 Julai 2018

Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God

Kanisa la Mwenyezi Mungu Video Nyimbo | Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God Utambulisho     Swahili Worship Song "Unapoufungua Moyo Wako kwa Mungu" | Seeing the Love of God Wakati hamumwelewi Mungu na hamjui asili Yake, mioyo yenu haiwezi kamwe kufunguka, kufunguka kwa Mungu. Mara...

Jumatano, 18 Aprili 2018

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu

2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu Kwamba Mungu amekuwa mwili hutikisa ulimwengu wa kidini, inavuruga utaratibu wa kidini, na inakoroga roho za wale wanaongoja kuonekana kwa Mung...

Jumapili, 25 Februari 2018

Hymn of Christian Experience Swahili "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu

Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu Kuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha. Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka. Mimi niko bila uhasi wowote, sirudi nyuma, na kamwe sikati tamaa. Ninauunga...

Jumatano, 14 Februari 2018

Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya" Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe! Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno...

Jumatatu, 12 Februari 2018

Best Swahili Christian Worship Song "Maisha Yetu Sio Bure"

Maisha Yetu Sio Bure Maisha yetu sio bure. Maisha yetu sio bure. Leo tunakutana na Mungu, tunapitia kazi Yake. Tumemjua Mungu katika mwili, wa utendaji na wa hakika. Tumeiona kazi Yake, nzuri na ya ajabu. Kila siku ya maisha yetu sio bure. Tunamshuhudia Kristo kama ukweli na uzima! Kufahamu na kukumbatia fumbo hili. Nyayo zetu ziko katika...

Jumatano, 7 Februari 2018

Swahili Gospel Song "Sala ya Watu wa Mungu" | Kuishi katika Upendo wa Mungu

Sala ya Watu wa Mungu Watu wa Mungu wanainuliwa mbele ya kiti Chake cha Enzi, maombi mengi mioyoni mwao. Mungu huwabariki wote wanaorejea Kwake; wote wanaishi katika mwanga. Omba Roho Mtakatifu alipe nuru neno la Mungu ili kwamba tujue kikamilifu mapenzi ya Mung...

Alhamisi, 1 Februari 2018

Maisha Mapya Katika Ufalme - "Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja" (Video Rasmi ya Muziki)

Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja Kwa kupendana, sisi ni familia. Ah … ah … Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu wampendao Mungu. Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, furaha na utamu vikijaza nyoyo zetu. Jana tuliacha majuto na hatia; leo tunaelewana,...

Neno la Mungu Humwongoza Mtu Kuishi Maisha Mapya | Maisha Yetu ya Kanisa Yanapendeza Sana

Maisha Yetu ya Kanisa Yanapendeza Sana I Mwenyezi Mungu mwenye mwili, tunaimba nyimbo za sifa kubwa Kwako. Wewe hutuleta katika maisha ya ufalme. Sisi watu wa ufalme tu katika karamu yako ya fahari, tukifurahia maneno Yako, tukitakaswa upotovu wetu. Neno Lako hutuongoza...

Ijumaa, 26 Januari 2018

Tafuteni Maana ya Maisha - “Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi” (Video Rasmi ya Muziki)

Tafuteni Maana ya Maisha - “Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi”  I Haikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi. Sasa nina jibu kwa hilo. Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe, kutafuta hadhi tu na umaarufu. Maombi kwa Mungu yaliyojaa maneno mema, lakini...

Nitampenda Mungu Maisha Yangu Yote | “Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri” (Video Rasmi ya Muziki)

Nitampenda Mungu Maisha Yangu Yote | “Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri” Juu ya miti, nikiukwea mwezi wa amani. Kama mpendwa wangu, wa haki na mzuri. Ee mpendwa wangu, Uko wapi? Sasa mimi nina machozi. Je, Wanisikia nikilia? Wewe Ndiwe hunipa upendo. Wewe Ndiwe Unayenitunza. Wewe...

Jumatano, 24 Januari 2018

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | Muziki wa Akapela “Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu” (Video Rasmi ya Muziki)

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | Muziki wa Akapela “Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu” Mpaka siku moja, utahisi kuwa Muumba sio fumbo tena, kwamba Muumba hajawahi kufichwa kutoka kwako, kwamba Muumba hajawahi kuificha sura Yake kutoka kwako, kwamba Muumba hayuko...

Jumapili, 21 Januari 2018

Swahili Gospel Song | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo

Swahili Gospel Song | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini. Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza. Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako, nina amani kabisa. Unanibariki, Unatoa maneno Yako ya hukumu. Bado sijui jinsi ninavyokosa kuithamini neema Yako. Kila mara nikiasi, kwa...

Jumatatu, 8 Januari 2018

Wimbo wa Injili | "Kama Nisingeokolewa na Mungu" | Best Swahili Christian Worship Song

Wimbo wa Injili | "Kama Nisingeokolewa na Mungu" | Best Swahili Christian Worship Song I Kama nisingeokolewa na Mungu, ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu, nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi; kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio. Kama nisingeokolewa na Mungu, bado ningekuwa nimepondwa chini ya miguu ya shetani, kama...

Jumanne, 19 Desemba 2017

Mungu ni upendo | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship Song

Mungu ni upendo | "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu" | Best Swahili Gospel Worship Song Sasa kwa kushangilia sana, utakatifu wa Mungu na haki vinakua ulimwenguni kote, ikitukuka sana kati ya wanadamu wote. Miji ya mbinguni inacheka, falme za dunia zinacheza. Ni nani asiyesherehekea? Ni nani asiyetoa machozi? Wanadamu hawagombani...

Jumamosi, 16 Desemba 2017

Mungu ni Mkuu | "Upendo wa Kweli wa Mungu" Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya

Mungu ni Mkuu | "Upendo wa Kweli wa Mungu" Swahili Gospel Song | Asante Mungu | Haleluya Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo. Moyo wangu una mengi ya kusema ninapoona uso Wake wa kupendeza. Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu. Neno Lake linanijaza...

Jumatano, 22 Novemba 2017

Toeni Nyimbo za Sifa kwa Mungu | Muziki wa Akapela "Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote"

Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote La … la la la … la la la…. La … la la la … la la la … la…. Jua la haki lapanda kutoka Mashariki. Ee Mungu! Utukufu wako hujaza mbingu na dunia. Mpenzi mrembo, upendo Wako huzingira moyo wangu. Watu wanaofuatilia ukweli wote...

Alhamisi, 16 Novemba 2017

Upendo wa Mungu Huushinda Moyo wa Mwanadamu | "Wimbo wa Kifuasi cha Dhati" Video Rasmi ya Muziki

Wimbo wa Kifuasi cha Dhati Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili. Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli. Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote. Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana. Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili. Anayoyasema,...