
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mtu-Mwaminifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mtu-Mwaminifu. Onyesha machapisho yote
Jumanne, 10 Aprili 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Maonyo Matatu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Maonyo Matatu
Kama muumini wa Mungu, hufai kuwa watiifu kwa yeyote mwingine isipokuwa Yeye katika mambo yote na mjilinganishe na moyo Wake katika mambo yote. Hata hivyo, ingawa wote huelewa mafundisho haya, ukweli huu wa kimsingi ulio wazi...
Ijumaa, 30 Machi 2018
Christian Video Swahili “Uaminifu ni wa Thamani Mno” | Wokovu wa Bwana

Zhen Cheng alikuwa mmiliki wa duka la urekebishaji wa vifaa vya stima. Alikuwa mkarimu, mwaminifu, na alifanya biashara inavyopasa kufanywa. Hangejaribu kumdanganya mtu, lakini alikuwa anachuma tu pesa za kutosha angalau kuimudu tu famillia yake. Baada ya muda, mmoja wa...
Jumapili, 25 Februari 2018
Hymn of Christian Experience Swahili "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu

Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu
Kuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu
na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha.
Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka.
Mimi niko bila uhasi wowote,
sirudi nyuma, na kamwe sikati tamaa.
Ninauunga...