Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Yesu Kristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Yesu Kristo. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 12 Novemba 2017

Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake

1. Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake Kama mamia ya mamilioni ya wafuasi wengine wa Bwana Yesu Kristo, tunafuata sheria na amri za Biblia, kufurahia neema tele ya Bwana Yesu Kristo, na kukusanyika pamoja, kuomba, kusifu, na kuhudumu kwa jina la Bwana Yesu Kristo—na haya yote sisi hufanya chini ya utunzaji na ulinzi...

Jumamosi, 11 Novemba 2017

Mwanadamu Anaweza Kuokolewa Tu Katikati ya Usimamizi wa Mungu

Mwanadamu Anaweza Kuokolewa tu Katikati ya Usimamizi wa Mungu Mwenyezi Mungu alisema: Kila mtu anahisi kuwa usimamizi wa Mungu ni wa ajabu, kwa sababu watu wanafikiri kuwa usimamizi wa Mungu hauna uhusiano wowote na mwanadamu. Wanafikiri kuwa usimamizi wa Mungu ni kazi ya...