Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Roho- Mtakatifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Roho- Mtakatifu. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 1 Julai 2019
"Wimbo wa Kuabudu | “Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu” | Kids Dance
Wimbo wa Kuabudu | “Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu” | Kids Dance
Safi na mwaminifu, kama mtoto bila hatia,
mchangamfu na mwenye nguvu za ujana,
Bila udanganyifu, na mioyo iliyo wazi tu, wao ni waadilifu.
wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni.
Wao ni watu waaminifu ambao Mungu anapenda.
Wanatoa mioyo...
Jumapili, 30 Juni 2019
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 109
Juni 30, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho- Mtakatifu, VitabuNo comments

Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 109
Ninatoa matamko kila siku, kuzungumza kila siku, na kufichua ishara Zangu kuu na shani kila siku. Haya yote ni kazi ya Roho Wangu. Machoni pa watu Mimi ni mwanadamu tu, lakini hasa ni katika mwanadamu huyu ndipo Ninafichua vyote Vyangu na nguvu Yangu kuu.
Kwa kuwa watu humpuuza mwanadamu Niliye na huyapuuza...
Jumanne, 5 Juni 2018
Sura ya 11. Kutatua Asili na Kutenda Ukweli
Juni 05, 2018Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, Mungu, Roho- Mtakatifu, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments


Sura ya 11. Kutatua Asili na Kutenda Ukweli
1. Uhusiano Kati ya Ubinadamu na Uwezo wa Kutenda Ukweli
Mwenyezi Mungu alisema, Watu husema kuwa kutenda ukweli ni vigumu kabisa. Basi mbona watu wengine wanaweza kutenda ukweli? Watu wengine husema ni kwa sababu...