Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Hukumu-ya-Siku-za-Mwisho. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Hukumu-ya-Siku-za-Mwisho. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 19 Juni 2019

Maneno ya Mwenyezi Mungu | sura ya 118

Maneno ya Mwenyezi Mungu | sura ya 118 Yeyote atakayeinuka kumshuhudia Mwana Wangu, Nitampa neema; yeyote ambaye hatainuka kumshuhudia Mwana Wangu, ila badala yake apinge na kutumia dhana za mwanadamu ili Amtathmini, Nitamwangamiza. Lazima wote waone waziwazi! Kumshuhudia Mwana Wangu ni kitendo cha kunicha nako kunayaridhisha mapenzi Yangu. Usimheshimu...