Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumtii Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumtii Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 12 Desemba 2017

Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu

Katika Imani Yako kwa Mungu Unapaswa Kumtii Mungu Mwenyezi Mungu alisema, Kwa nini unamwamini Mungu? Watu wengi wanafadhaishwa na swali hili. Siku zote wana mitazamo tofauti kuhusu Mungu wa vitendo na Mungu wa mbinguni, jambo linaloonyesha kwamba wanamwamini Mungu...