Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimbo-za-Maneno-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Nyimbo-za-Maneno-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 9 Oktoba 2018

Nyimbo za Maneno ya Mungu | Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote

Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote I Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia, unaanza kutenda wajibu wako. Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako, na unaanza safari ya mais...

Nyimbo za Maneno ya Mungu | Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu

Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu I Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu, na Anatawala vitu vyote kutoka juu. Wakati huo huo, Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia. Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati, kila hatua ya...

Jumatatu, 10 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?

Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho? I Mwili wa Mungu utajumlisha kiini cha Mungu na maonyesho Yake. Atakapofanywa mwili, Ataleta matunda ya kazi Aliyopewa ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote, awape uhai na awaonyeshe nj...

Jumapili, 9 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu

Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu   Upendo na huruma za Mungu hupenyeza kazi Yake ya usimamizi kwa utondoti. I Ikiwa mwanadamu ahisi mapenzi Yake ya huruma au la, Yeye hachoki kufuatilia kazi Anayohitaji kufan...

Ijumaa, 17 Agosti 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Mamlaka na Nguvu Anayoonyesha Mungu Anapopata Mwili

I Mungu alikuja duniani hasa kutimiza  ukweli wa “Neno kuwa mwili.”  (tofauti na Agano la Kale, katika siku za Musa,  Mungu alizingumza moja kwa moja kutoka mbinguni).  Kisha, yote yatatimizwa katika enzi ya Ufalme wa Mile...