Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kazi ya Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kazi ya Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 23 Januari 2019

Tafuta Kumpenda Mungu Bila Kujali Mateso Yako Ni Makubwa Vipi

I Lazima uelewe ilivyo ya thamani kazi ya Mungu leo. Watu walio wengi hawana ufahamu huo, wakifikiria mateso hayana thamani: Wanateswa kwa ajili ya imani yao, wamekataliwa na dunia, nyumba zao pia zina shida, siku zao za usoni hazina matumaini, hazina matumain...

Alhamisi, 14 Desemba 2017

Ni Wale Tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Wanaoweza Kumhudumia Mungu

Ni Wale tu Wanaoijua Kazi ya Mungu Leo Wanaoweza Kumhudumia Mungu Mwenyezi Mungu alisema, Ili uwe na ushuhuda kwa Mungu na kuliaibisha joka jekundu ni sharti uwe na kanuni, na sharti: Katika moyo wako ni lazima umpende Mungu na uingie katika maneno ya Mungu. Kama...

Ijumaa, 8 Desemba 2017

Uchaguzi Kutoka kwa Vifungu Vitatu vya Neno la Mungu juu ya “Maono ya Kazi ya Mungu”

Uchaguzi Kutoka kwa Vifungu Vitatu vya Neno la Mungu juu ya "Maono ya Kazi ya Mungu" 1. Yohana alianza kueneza injili ya ufalme wa mbinguni miaka saba kabla ya ubatizo wa Yesu. Kwa watu, kazi aliyoifanya ilionekana kuwa juu zaidi ya kazi ya baadaye ya Yesu, ilhali yeye alikuwa, hata hivyo, nabii tu. Hakufanya kazi au kuzungumza ndani ya hekalu,...