Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wokovu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wokovu. Onyesha machapisho yote
Alhamisi, 15 Agosti 2019
"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 4 Uamshaji katika Nuru | Kwaya za Injili
"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 4 Uamshaji katika Nuru | Kwaya za Injili
Mwenyezi Mungu anasema, “Ah, ya kwamba binadamu wote Niliouumba hatimaye umerudiwa na uhai tena katika mwanga, kupata msingi wa kuwepo, na kuacha kupambana katika tope!” (Neno Laonekana katika Mwili).
Tazama Zaidi : Wimbo wa Kuabudu 2019 | "Mungu Anashuka na Hukumu"...
Jumanne, 25 Juni 2019
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 112
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 112
Kwamba “maneno na uhalisi huendelea kwa pamoja” ni sehemu ya tabia Yangu ya haki na, kutoka kwa maneno haya, bila shaka Nitamwacha kila mtu aone tabia Yangu yote. Watu hufikiri hili haliwezi kutimizwa, lakini Kwangu ni rahisi na linafurahisha, na halitumii juhudi yoyote. Wakati ambapo maneno Yangu yanatoka...
Jumatatu, 10 Juni 2019
Mchakato wa Mbadiliko wa Muumini Mwenye Kiburi

Zhang Yitao, Mkoa wa Henan
“Mungu, kazi Yako ni ya vitendo sana, imejaa haki na utakatifu sana. Umekuwa ukifanya kazi kwa muda mrefu kwa subira, yote kwa ajili yetu. Katika siku za nyuma, nilimwamini Mungu lakini sikuwa na mwenendo wa binadamu. Nilikuasi na kuumiza moyo...
Jumamosi, 25 Mei 2019
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Ufahamu Kiasi Kuhusu Kuokolewa
Lin Qing Jijini Qingzhou, Mkoa wa Shandong
Kwa miaka hii mingi ya kumfuata Mungu, nimeacha familia yangu na raha za mwili, na nimekuwa na shughuli nyingi siku nzima nikitimiza wajibu wangu kanisani. Kwa hiyo niliamini: Mradi tu nisiache kazi yangu katika kanisa, nisimsaliti Mungu, nisiache kanisa, na kumfuata Mungu hadi mwisho, nitahurumiwa na kuokolewa...
Jumatatu, 20 Mei 2019
2. Kuna tofauti ipi kati ya jinsi ambavyo Bwana Yesu alifanya kazi katika Enzi ya Neema na jinsi Mwenyezi Mungu anavyofanya katika Enzi ya Ufalme?
IV. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Mungu na Majina Yake
2. Kuna tofauti ipi kati ya jinsi ambavyo Bwana Yesu alifanya kazi katika Enzi ya Neema na jinsi Mwenyezi Mungu anavyofanya katika Enzi ya Ufalme?
Maneno Husika ya Mungu:
Wakati wa kupata mwili Kwake mara ya kwanza, ilikuwa muhimu kwa Mungu kuponya...
Jumatano, 15 Mei 2019
Swahili Gospel Song | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo
Swahili Gospel Song | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo
Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini.
Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza.
Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako,
nina amani kabisa.
Unanibariki, Unatoa maneno Yako ya hukumu.
Bado sijui jinsi ninavyokosa kuithamini neema Yako.
Kila mara nikiasi,...