Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kwamba-ujenzi-wa-ufalme. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kwamba-ujenzi-wa-ufalme. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 21 Aprili 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 10

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Sura ya 10 Mwenyezi Mungu alisema, Katika wakati wa ujenzi wa kanisa, Mungu alitaja ujenzi wa kanisa kwa nadra. Hata Alipotaja, Alifanya hivyo katika lugha ya wakati wa ujenzi wa kanisa. Mara tu Enzi ya Ufalme ilipokuja, Mungu alifuta mbinu na wasiwasi...