Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Injili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Injili. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 15 Juni 2019

Kuzaliwa Upya Kupitia Neno la Mungu

Wang Gang Mkoa wa Shandong Mimi ni mkulima na kwa sababu familia yangu ni maskini, daima ilinibidi nisafiri kwenda kote kutafuta kazi za muda ili kupata pesa; nilidhani kuwa ningeweza kujipatia maisha mazuri kupitia kazi yangu ya kimwili. Hata hivyo, kwa uhalisi, niliona...

Ijumaa, 24 Mei 2019

Maneno ya Mungu Yaliniongoza Kutoka Katika Matatizo

Maneno ya Mungu Yaliniongoza Kutoka Katika Matatizo Xiao Rui Mji wa Panzhihua, Mkoa wa Sichuan Nilipokuwa nikihubiri injili nilikutana na viongozi wa dini ambao walisema uongo ili kupinga na kuvuruga, na kuwaita polisi. Hili lilisababisha wale niliokuwa nikihubiria kutothubutu kuwasiliana nasi, na wale ambao walikuwa tu wameikubali injili kutoweza...

Jumamosi, 5 Januari 2019

Mmempa Mungu Nini Kama Malipo?

I Mungu amekuwa kati yenu kwa majira kadhaa ya kupuputika na ya kuchipua. Ameishi nanyi kwa muda mrefu. Mbele Yake ni matendo yenu mangapi maovu yamenyiririka? Maneno ya dhati mnayoyasema, yanarudisha mwangwi katika masikio ya Mung...

Jumamosi, 29 Desemba 2018

29. Mungu Ameonekana Mashariki mwa Dunia na Utukufu

I Mungu anafanya kazi ulimwenguni kote. Kelele za radi ya Mashariki hazipungui, Zikitikisa madhehebu na makundi yote. Ni sauti ya Mungu iliyoleta vyote wakati wa sasa. Ni sauti Yake ndiyo itashinda kila kitu. Wanaanguka katika mtiririko huu, na kumtii Yey...

Jumamosi, 22 Desemba 2018

"Nimewahi Treni ya Mwisho" (4) : Hukumu Mbele ya Kiti Kikuu Cheupe cha Mungu Imeanza

"Nimewahi Treni ya Mwisho" (4) : Hukumu Mbele ya Kiti Kikuu Cheupe cha Mungu Imeanza Unajua jinsi hukumu ya kiti cha enzi kikuu cheupe iliyotabiriwa katika Ufunuo inatimizwa? Je, hukumu ya kiti cha enzi kuu cheupe iko mbinguni, au duniani? Je, inafanywa na Mungu aliyepata mwili, au kwa Roh...

Jumatano, 12 Desemba 2018

Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days

Best Swahili Full Christian Movie | "Wimbo wa Ushindi" | Preaching the Gospel of the Last Days Kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho imevuma katika kila farakano na kikundi. Kufuatia kuenea kwa injili ya ufalme, maneno ya Mwenyezi Mungu yanakubaliwa na kuenezwa na watu zaidi na zaidi, waumini wa kweli katika Mungu ambao wana...

Jumanne, 11 Desemba 2018

Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | "Unapaswa Kushughulikiaje Wito Wako wa Mustakabali?"

Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | "Unapaswa Kushughulikiaje Wito Wako wa Mustakabali?" Mwenyezi Mungu anasema, "Hata ingawa wamenusurika mpaka siku hii, ni nani angefikiri kuwa wamepewa sumu na yule mwovu kwa muda mrefu? Je, umesahau kuwa wewe ni mmoja wa waathiriwa? Kwa ajili ya upendo wako kwa Mungu, una nia ya kufanya kila uwezalo kuwaokoa...

Ijumaa, 7 Desemba 2018

Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno" (Official Video)

Maneno ya Roho Mtakatifu kwa makanisa | "Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno" (Official Video) Mwenyezi Mungu anasema, "Katika Enzi ya Ufalme, Mungu anatumia neno ili kukaribisha enzi mpya, ili kubadilisha mbinu za kazi Yake, na kuweza kufanya kazi katika enzi nzima. Hii ndiyo kanuni ambayo Mungu hufanyia kazi katika Enzi ya Nen...

Jumatano, 24 Oktoba 2018

Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family

Utambulisho Swahili Christian Skit | "Baba Yangu, Mchungaji" | A Debate on the Bible in a Family Chi Shou, mchungaji wa dini ambaye amekuwa muumini wa Bwana kwa miaka arubaini, daima ameshikilia mitazamo kwamba "maneno na kazi yote ya Bwana yako ndani ya Biblia," na kwamba "imani katika Bwana haiwezi kuacha Biblia, na kuiamini...

Jumatano, 3 Oktoba 2018

Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (1) - Je, Ni Vipi Unabii wa Kurudi kwa Bwana Yesu Unatimia?

🎬👀~~~~🌻🌻🌻🌻🌻******     💓💓💓 Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (1) - Je, Ni Vipi Unabii wa Kurudi kwa Bwana Yesu Unatimia? Watu wengi katika ulimwengu wa kidini hufuata unabii unaosema kwamba Bwana atashuka akiwa juu ya wingu na wanamsubiria Yeye kuja kwa njia hiyo kisha kuwanyakua hadi...

Jumanne, 25 Septemba 2018

Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki(I)

Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki(I) Chen Lu Wilaya ya Tonglu, Mkoa wa Zhejiang Nilizaliwa miaka ya 1980 katika kijiji—tulikuwa tumekuwa familia ya wakulima kwa vizazi vingi. Nilijiingiza katika masomo yangu ili niweze kuhitimu kuingia katika chuo na kuepuka maisha...

Jumapili, 23 Septemba 2018

ushuhuda wa Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuinuka Kupitia Ukandamizaji wa Giza(I)

Kuinuka Kupitia Ukandamizaji wa Giza(I) Mo Zhijian Mkoa wa Guangdong Nilizaliwa katika eneo maskini, la mbali lenye milima ambako tumefukiza na kumwabudu Budha kwa vizazi vingi. Kuna hekalu za Budha sehemu hiyo kote ambako familia zote zingekwenda kuchoma uvumba; hakuna...

Ijumaa, 7 Septemba 2018

Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies

Utambulisho Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies Siku moja huenda nikakamatwa na kuteswa na CCP, kuteseka huku ni kwa ajili ya haki, ambayo najua moyoni mwangu. Maisha yangu yakitoweka mara moja ghafla bin vu, bado nitasema kwa fahari kwamba nimemkubali Kristo wa siku za mwish...

Jumapili, 5 Agosti 2018

Upendo wa Mungu ni wa Kweli Kabisa

Upendo wa Mungu ni wa Kweli Kabisa @page { margin: 2cm } p { margin-bottom: 0.25cm; line-height: 120% } a:link { so-language: zxx } 🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻   *************         🌺🌺🌺🌺 @page { margin: 2cm } p { margin-bottom:...

Jumanne, 24 Julai 2018

Shahidi uzoefu wa Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka(1)

Shahidi uzoefu wa Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka Tong Xin    Mkoa wa Fujian @page { margin: 2cm } p { margin-bottom: 0.25cm; line-height: 120% } a:link { so-language: zxx } 💓💓💓💓    *************   ...

Ijumaa, 6 Julai 2018

Vigezo vya Mtu Mwema Kwa Dhati

Vigezo vya Mtu Mwema Kwa Dhati Moran   Mji wa Linyi, Mkoa wa Shandong Tangu nilipokuwa mtoto, siku zote nilishikiza umuhimu mkubwa kwa jinsi watu wengine walivyoniona na ukadiriaji wao kwangu. Ili niweze kupata sifa kutoka kwa wengine kwa kila kitu nilichokifanya,...

Jumatatu, 2 Julai 2018

Sura ya 32. Ni Watu wa Aina Gani Watakaoadhibiwa

Sura ya 32. Ni Watu wa Aina Gani Watakaoadhibiwa Mwenyezi Mungu alisema, Kukufuru na kashfa dhidi ya Mungu ni dhambi ambayo haitasamehewa kwa enzi hii na enzi ijayo na wale wanaofanya dhambi hii hawatazaliwa upya kamwe. Hili linamaanisha kwamba tabia ya Mungu...

Jumanne, 19 Juni 2018

Umeme wa Mashariki | Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri

Umeme wa Mashariki | Kuona Uhalisi Wangu Kwa Dhahiri Xiaoxiao Jijini Xuzhou, Mkoani Jiangsu Kwa sababu ya mahitaji ya kazi ya kanisa, nilihamishwa mpaka mahali pengine ili kutimiza wajibu wangu. Wakati huo, kazi ya injili mahali pale ilikuwa katika hali duni,...

Jumamosi, 16 Juni 2018

Sura ya 27. Ni Nini Maana ya “Kumkosea Mungu”

Sura ya 27. Ni Nini Maana ya “Kumkosea Mungu” Mwenyezi Mungu alisema, Ukilibadilisha au kulikanganya neno la Mungu Mwenyewe, basi hiyo ni sawa na uasi wa Mungu, kukufuru dhidi Yake na usaliti. Hii ni sawa tu na malaika mkuu kusema:"Mungu, Unaweza kuumba mbingu...

Jumatatu, 4 Juni 2018

Umeme wa Mashariki | Kuvunja Pingu

Umeme wa Mashariki | Kuvunja Pingu  Zhenxi Jijini Zhenzhou, Mkoani Hena Miaka kumi iliyopita, nikiendeshwa na asili yangu ya kiburi, sikuweza kamwe kutii kikamilifu mipangilio ya kanisa. Ningetii ikiwa ilinifaa, lakini iwapo haingenifaa ningechagua iwapo ningetii...