Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada “Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki”

Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale, na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki. Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga, wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.

Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | “Bwana Wangu Ni Nani” ( Filamu za Injili )

Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.”

Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki “ Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19” | Haleluya

Mungu ametutunza daima–Yeye amesikiliza maombi yetu! Anajua tumekuwa tukitamani kurejea Kwake! Sasa kwa hakika Amerejea! Tunasubiri nini bado? Tafadhali endelea kutazama drama yenye muziki ya Kanisa la Mwenyezi Mungu—Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo!

NYENDO ZA MATESO YA KIDINI NCHINI CHINA (Christian Videos) swahili

Wakristo wanaoteswa katika filamu hii ni watu kutoka kwa vikundi vya kidini na madhehebu tofauti ambao walitafuta ukweli, na ambao waliisikia sauti ya Mungu na hivyo wakarudi kwa Mwenyezi Mungu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo nyimbo-za-kuabudu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo nyimbo-za-kuabudu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 17 Oktoba 2019

Wimbo wa Kusifu na Kuabudu | “Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu” | Kenyan gospel music

Wimbo wa Kusifu na Kuabudu | “Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu” | Kenyan gospel music
I Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu, na Anatawala vitu vyote kutoka juu. Wakati huo huo, Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia. Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati, kila hatua ya mwanadamu, kila kitu anachosema na kufanya. Mungu anamjua mwanadamu kama kiganja cha mkono Wake. Mahali pa siri ni makao ya Mungu, anga ndicho kitanda Mungu akilaliacho. Nguvu ya Shetani haiwezi kumfikia Mungu, kwani Yeye amejawa na utukufu, haki, na hukumu. II Mungu amekanyaga vitu vyote na miguu Yake, Yeye ananyosha mtazamo Wake juu ya ulimwengu. Na Mungu ametembea kati ya wanadamu, ameonja utamu na uchungu, ladha zote za dunia ya mwanadamu; lakini wanadamu, kamwe hawakumtambua Mungu kweli, wala hawakumwona Mungu alipokuwa akitembea ughaibuni. Kwa sababu Mungu alikuwa kimya, na hakufanya matendo yasiyo ya kawaida, hivyo, hakuna aliyemwona kweli. Vitu haviko vilivyokuwa awali: Mungu anaenda kufanya vitu ambavyo, katika enzi zote, ulimwengu haujawahi kuona, Mungu anaenda kunena maneno ambayo, katika enzi zote, wanadamu hawajawahi kusikia, kwa sababu Yeye anawataka binadamu wote waje kumjua Mungu katika mwili. kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Tazama Video: Wimbo wa Injili | Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa | Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu

Jumanne, 17 Septemba 2019

Wimbo Mpya wa Kuabudu 2019 | “Kristo wa Siku za Mwisho Ameleta Enzi ya Ufalme” (Swahili Gospel Song)


Wimbo Mpya wa Kuabudu 2019 | “Kristo wa Siku za Mwisho Ameleta Enzi ya Ufalme” (Swahili Gospel Song)

Yesu alipokuja katika ulimwengu wa mwanadamu, Akatamatisha Enzi ya Sheria, Alileta Enzi ya Neema. Mungu mara nyingine akakuwa mwili katika siku za mwisho. Akitamatisha Enzi ya Neema, Alileta Enzi ya Ufalme. Wote wanaokubali kupata mwili kwa Mungu kwa mara ya pili wataongozwa katika Enzi ya Ufalme na kupokea uongozi Wake. Baada ya mwanadamu kusamehewa dhambi zake, Mungu alirudi mwilini kumwongoza. Atamwongoza mwanadamu kuingia katika enzi mpya. Ameanza kazi ya hukumu ili kumleta mwanadamu katika ulimwengu wa juu zaidi. Wote wanaotii utawala Wake watavuna ukweli wa juu na baraka kuu. Ee wataishi katika mwangaza! Na kupata njia, ukweli, na uzima! Yesu alifanya kazi nyingi kati ya wanadamu. Ukombozi wa wanadamu wote ndio kazi aliyomaliza pekee. Aligeuka sadaka ya mwanadamu ya dhambi, lakini hakumwondolea mwanadamu tabia yake yote potovu, upotovu wote wa mwanadamu. Kumwokoa mwanadamu kutoka kwa Shetani kulimaanisha Yesu alilazimika kuchukua dhambi za mwanadamu, lakini kazi kubwa zaidi ya Mungu ilihitaji kumwondolea mwanadamu upotovu wa Shetani. Baada ya mwanadamu kusamehewa dhambi zake, Mungu alirudi mwilini kumwongoza. Atamwongoza mwanadamu kuingia katika enzi mpya. Ameanza kazi ya hukumu ili kumleta mwanadamu katika ulimwengu wa juu zaidi. Wote wanaotii utawala Wake watavuna ukweli wa juu na baraka kuu. Ee wataishi katika mwangaza! Na kupata njia, ukweli, na uzima! kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
Unaweza Pia Kupenda : Wimbo wa Injili "Kiini cha Kristo Ni Mungu" | Differences Between the True Christ and False Christs

Ijumaa, 9 Agosti 2019

"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 2 Mamlaka ya Neno la Mungu | Kwaya za Injili

"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 2 Mamlaka ya Neno la Mungu | Kwaya za Injili
Mwenyezi Mungu anasema, “Maneno Yangu ni ukweli, uhai, njia, na upanga mkali ukatao kuwili, ambao unaweza kumshinda Shetani” (Neno Laonekana katika Mwili). Maneno ya Mungu ni kama upanga wenye makali pande mbili, yanayoweza kushinda nguvu zote za uovu.

Jumatatu, 1 Julai 2019

"Wimbo wa Kuabudu | “Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu” | Kids Dance

  Wimbo wa Kuabudu | “Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu” | Kids Dance

Safi na mwaminifu, kama mtoto bila hatia,
mchangamfu na mwenye nguvu za ujana,
Bila udanganyifu, na mioyo iliyo wazi tu, wao ni waadilifu.
wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni.
Wao ni watu waaminifu ambao Mungu anapenda.
Wanatoa mioyo yao kwa Mungu na kupata imani Yake.
Tunakubali uchunguzi wa Mungu, tunaishi mbele Yake.
Kuacha maneno ya Mungu yatuongoze kila siku,

Alhamisi, 7 Februari 2019

Nyimbo za kuabudu | Mungu Amepata Utukufu Miongoni mwa Viumbe Vyote

Nyimbo za kuabudu | Mungu Amepata Utukufu Miongoni mwa Viumbe Vyote

I
Kutoka wakati wa uumbaji hata leo,
Mungu amepigana vita vingi vya ushindi,
na Amefanya mambo mengi ya kupendeza.
Watu wengi wakati mmoja walimtukuza,
na kutoa sifa Kwake, na walimchezea.