Ijumaa, 11 Januari 2019

Matamshi ya Kristo | Kuwa Mtu Anayekubali Ukweli

I
Eh~ Chagua njia yako mwenyewe, usikatae ukweli
au kumkufuru Roho Mtakatifu.
Usiwe mjinga, usiwe na kiburi.
Tii mwongozo wa Roho Mtakatifu.
Kurudi kwa Yesu ni wokovu mkuu
kwa wale wote wanaoweza kukubali ukweli.
Kurudi kwa Yesu ni hukumu
kwa wale wasioweza kukubali ukweli. Eh~
II
Tumainia ukweli na utafute ukweli.
Ndiyo njia pekee ambayo utafaidika.
Wale ambao wamesikia ukweli bado huupuuza
wote ni wapumbavu na wajinga.
Kurudi kwa Yesu ni wokovu mkuu
kwa wale wote wanaoweza kukubali ukweli.
Kurudi kwa Yesu ni hukumu
kwa wale wasioweza kukubali ukweli,
eh~ kukubali ukweli, eh~ kukubali ukweli.
III
Tembea polepole katika njia ya imani katika Mungu.
Usiruke katika hitimisho za haraka.
Usiwe wa kawaida, usiyejali katika imani yako kwa Mungu
Wale wanaomwamini Yeye wanapaswa kuwa wenye uchaji na wanyenyekevu.
Wale ambao wamesikia ukweli lakini wanaruka kwa hitimisho
au kuhukumu yale ya kweli wamejawa na kiburi.
Kurudi kwa Yesu ni wokovu mkuu
kwa wale wote wanaoweza kukubali ukweli.
Kurudi kwa Yesu ni hukumu
kwa wale wote wasioweza kukubali ukweli. Eh~ eh~
V
Hakuna mtu anayemwamini Yesu anayestahili kulaani au kuhukumu.
(Eh~ kukubali ukweli.)
Unapaswa kuwa na busara na kukubali ukweli.
Kurudi kwa Yesu ni wokovu mkuu
kwa wale wote wanaoweza kukubali ukweli.
kutoka katika "Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu ndio Utakuwa Wakati Ambao Mungu Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

0 意見:

Chapisha Maoni