Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada “Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki”

Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale, na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki. Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga, wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.

Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | “Bwana Wangu Ni Nani” ( Filamu za Injili )

Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.”

Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki “ Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19” | Haleluya

Mungu ametutunza daima–Yeye amesikiliza maombi yetu! Anajua tumekuwa tukitamani kurejea Kwake! Sasa kwa hakika Amerejea! Tunasubiri nini bado? Tafadhali endelea kutazama drama yenye muziki ya Kanisa la Mwenyezi Mungu—Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo!

NYENDO ZA MATESO YA KIDINI NCHINI CHINA (Christian Videos) swahili

Wakristo wanaoteswa katika filamu hii ni watu kutoka kwa vikundi vya kidini na madhehebu tofauti ambao walitafuta ukweli, na ambao waliisikia sauti ya Mungu na hivyo wakarudi kwa Mwenyezi Mungu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo watu-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo watu-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 5 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu | Upendo wa Mungu Unaenea Duniani Kote

Wimbo wa Kuabudu | Upendo wa Mungu Unaenea Duniani Kote

Mwenyezi Mungu, Wewe ni mwenye haki, Wewe ni mtakatifu.
Upendo Wako safi ni kama chembe ya theluji ikicheza hewani,
nyeupe, nzuri, inayonukia, ikiniangukia, ikiyeyuka katika upendo wangu mara moja.
Kupitia uboreshaji Wako upendo wangu Kwako umekuwa halisi kabisa.

Alhamisi, 14 Machi 2019

Wimbo wa injili | Sifu Mafanikio ya Kazi ya Mungu

Kazi kuu ya Mungu inabadilika upesi sana, ni ngumu kuielewa, ya kusadikisha kwa mwanadamu.
Tazama pale ulipo, sio kama awali, kila kitu ni kizuri na kipya.
Kila kitu kinafufuliwa, vyote kufanyunywa upya, vyote kubadilishwa.

Alhamisi, 7 Machi 2019

Nyimbo za kuabudu | Joka Kuu Jekundu Linaanguka Kadiri Watu wa Mungu Wanavyokomaa

Nyimbo za kuabudu | Joka Kuu Jekundu Linaanguka Kadiri Watu wa Mungu Wanavyokomaa

I
Wakati ambapo watu wote watakuwa wamefanywa kamili,
na mataifa yote ni ufalme wa Kristo, ngurumo saba zitasikika.
Leo ni hatua kuelekea hatua hiyo. Moto umetolewa.
Huu ni mpango wa Mungu. Hivi karibuni utafanikishwa.
II
Ili kukamilisha mpango wa Mungu, malaika wamekuja duniani,
wakifanya kila wawezalo kumridhisha Mungu.

Alhamisi, 28 Februari 2019

Wimbo wa Kusifu na Kuabudu 2019 “Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja”

Wimbo wa Kusifu na Kuabudu 2019 “Watu wa Mungu wa Mataifa Yote Huonyesha Hisia Zao Kama Mtu Mmoja” | Praise and Thank God's Love

Uangalie ufalme wa Mungu, ambako Mungu anatawala juu ya yote. Kutoka wakati uumbaji ulipoanza mpaka siku ya sasa, wana wa Mungu waliongozwa wakipitia taabu. Katika milima na mabonde walienda. Lakini sasa katika nuru Yake wanakaa.

Jumapili, 3 Februari 2019

Wale tu Walio Watulivu Mbele ya Mungu Ndio Wanaolenga Maisha

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli,

Wale tu Walio Watulivu Mbele ya Mungu Ndio Wanaolenga Maisha

I
Wale ambao wanaweza kuwa na utulivu kweli mbele ya Mungu
ni wale ambao wanaweza kuwa huru kutokana na mahusiano ya kidunia,
na wanaweza kumruhusu Mungu akae ndani mwao.

Jumatatu, 16 Aprili 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Tatu

Mwenyezi Mungu alisema, Kwa kuwa mnaitwa watu Wangu, mambo hayapo kama yalivyokuwa; mnapaswa kusikiliza na kutii matamshi ya Roho Wangu, fuateni kwa karibu kazi Yangu, na msitenganishe Roho Wangu na mwili Wangu, maana kwa asili Sisi ni wamoja, na Hatujatengana.