Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ndugu-na-dada. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo ndugu-na-dada. Onyesha machapisho yote
Alhamisi, 10 Mei 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Niko Tayari Kukubali Usimamizi wa Wote
Mei 10, 2018Hukumu-na-Kuadibu, makusudi-ya-Mungu, ndugu-na-dada, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Xianshang Mji wa Jinzhong, Mkoa wa Shanxi
Muda mfupi uliopita, kila wakati niliposikia kwamba wahubiri wa wilaya walikuwa wakija kwa kanisa letu, ningehisi kutaharaki kiasi. Sikufichua hisia zangu kwa nje, lakini moyo wangu ulijaa upinzani wa siri. Nilidhani: "Ingekuwa bora kama nyinyi nyote hamkuja. Mkija, angalau msifanye kazi kanisani nami.
Jumanne, 24 Aprili 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuna Furaha Kubwa Katika Uaminifu
Aprili 24, 2018imani-katika-Mungu, Katika-Uaminifu, ndugu-na-dada, neno-la-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuna Furaha Kubwa Katika Uaminifu
Gan'en Mji wa Hefei, Mkoa wa Anhui
Katika maisha yangu, siku zote nimeongozwa na msemo, "Mtu hapaswi kuwa na moyo wa kuwadhuru wengine, lakini lazima awe macho ili asidhuriwe" katika uingiliano wa kijamii. Kamwe huwa siwaridhii wengine imani yangu kwa urahisi.