Alhamisi, 31 Januari 2019

Umeme wa Mashariki | Unapaswa Kuyaacha Yote Kwa Ajili Ya Ukweli

Umeme wa Mashariki | Unapaswa Kuyaacha Yote Kwa Ajili Ya Ukweli

I
Lazima upitie mateso katika njia yako kuelekea kwenye ukweli.
Lazima ujitolee mwenyewe kabisa.
Uvumilie aibu, ukubali mateso zaidi.
Kufanya hivi ili kupata ukweli zaidi.
Lazima utafute yote yanayopendeza.
Lazima utafute yote yaliyo mazuri,
njia katika maisha iliyojawa na maana.
Acha raha zote, acha mwili kwa ajili ya ukweli.
II
Hupaswi kutupa ukweli
kwa ajili ya maisha ya amani ya familia,
ukiweka uadilifu, ukikaa kwa heshima.
Usiutupe mbali kwa ajili ya starehe za muda mfupi.
Lazima utafute yote yanayopendeza.
Lazima utafute yote yaliyo mazuri,
njia katika maisha iliyojawa na maana.
Acha raha zote, acha mwili kwa ajili ya ukweli.
III
Usitupe mbali ukweli wote kwa ajili ya raha tu.
Ukiendelea kwa njia ya kishenzi bila ufuatiliaji, je, maisha hayatakuwa yamepotea?
Usitupe mbali ukweli wote kwa ajili ya raha tu.
Watu kama hawa hawana uadilifu au heshima; hakuna maana katika kuwepo kwao!
Lazima utafute yote yanayopendeza.
Lazima utafute yote yaliyo mazuri,
njia katika maisha iliyojawa na maana.
Acha raha zote, acha mwili kwa ajili ya ukweli.
kutoka katika "Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama Video: Kwaya za Injili

0 意見:

Chapisha Maoni