Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-kama-chanzo-cha-uhai-wote. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-kama-chanzo-cha-uhai-wote. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 18 Aprili 2018

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII (Sehemu ya Tatu)

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VII Sehemu ya Tatu Mwenyezi Mungu alisema, Baada ya kujadili kwa kina hadi sasa, mnahisi kwamba mna uelewa wa juujuu wa maana ya kidokezo cha kirai “Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote”? (Ndiyo.) Nilijua kwamba Nilipojadili mada hii...