Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Yesu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Yesu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 16 Mei 2019

2. Kuna uhusiano gani kati ya kila hatua ya kazi ya Mungu na majina Yake?

IV. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Mungu na Majina Yake 2. Kuna uhusiano gani kati ya kila hatua ya kazi ya Mungu na majina Yake? (1) Umuhimu wa Mungu kuchukua jina la Yehova katika Enzi ya Sheria Aya za Biblia za Kurejelea: “Na Mungu akasema zaidi kwa Musa, Utawaambia hivi wana wa Israeli,...

Jumanne, 12 Februari 2019

Nyimbo za kuabudu | Kiini Cha Upinzani wa Mafarisayo kwa Yesu

Nyimbo za kuabudu | Kiini Cha Upinzani wa Mafarisayo kwa Yesu I Je, ungependa kujua kiini cha sababu ya Mafarisayo kumpinga Yesu? Je, ungependa kujua kiini chao ni nini? Walikuwa wamejawa na ndoto kuu kumhusu Masiha, wakiamini tu katika kuja Kwake, kutotafuta ukweli wa maish...

Jumatano, 26 Desemba 2018

Je, Wajua? Mungu Amefanya Jambo Kubwa Miongoni Mwa Wanadamu

Enzi ya zama ishaenda, na enzi mpya imefika. Mwaka baada ya mwaka na siku baada ya siku, Mungu amefanya kazi nyingi. Alikuja duniani, kisha Akaondoka. Mzunguko kama huu umeendelea kwa vizazi vingi. Siku ya leo, Mungu anaendelea kama mbeleni kufanya kazi Anayopaswa kufanya, kazi ambayo bado Hajaikamilisha, kwani hadi leo, bado Hajaingia mapumziko...

Jumapili, 23 Desemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 44 na 45

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 44 na 45 Tangu Mungu alipomwambia mwanadamu kuhusu "upendo wa Mungu”—somo la maana zaidi kati ya yote—Alilenga kuzungumza juu ya mada hii katika "matamko ya Roho mara saba," kusababisha watu wote kujaribu kujua utupu wa maisha...

Ijumaa, 14 Desemba 2018

Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | "Waovu Lazima Waadhibiwe" (Official Video)

Sauti na maneno ya Roho Mtakatifu | "Waovu Lazima Waadhibiwe" (Official Video) Mwenyezi Mungu anasema, "Mwanadamu kila wakati huamini kuwa Mungu habalidiliki na humfafanua kulingana na Bibilia, kana kwamba mwanadamu ameona ndani ya usimamizi wa Mungu, kana kwamba kila kitu Atendacho Mungu kiko mikononi mwa mwanadamu. Wanadamu ni wa kufanya mzaha...

Alhamisi, 4 Oktoba 2018

Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (3) - Je, Hakuna Maneno au Kazi ya Mungu Nje ya Biblia?

Utambulisho🎬👀 Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (3) - Je, Hakuna Maneno au Kazi ya Mungu Nje ya Biblia? Watu wengi katika ulimwengu wa kidini wanasadiki kwamba maneno yote ya Mungu yako ndani ya Biblia, na chochote kilicho nje ya Biblia hakina kazi Yake na maneno. Hawatafuti nje ya Biblia matamko Yake...

Jumatano, 12 Septemba 2018

Maonyesho ya Mungu | "Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi"

🎬👀🎬👀🎬😇👍 **********     💓💓💓~~~~🎼🎼     → → 🎙️🎙️ Maonyesho ya Mungu | "Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi" Mwenyezi Mungu alivyosema, "Katika Enzi ya Neema mwanadamu alikuwa amepotoshwa na Shetani, na hivyo kazi ya ukombozi wa wanadamu wote ulihitaji wingi wa neema,...

Jumatatu, 10 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho?

Unapaswa Kupokeaje Kurudi kwa Kristo wa Siku za Mwisho? I Mwili wa Mungu utajumlisha kiini cha Mungu na maonyesho Yake. Atakapofanywa mwili, Ataleta matunda ya kazi Aliyopewa ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote, awape uhai na awaonyeshe nj...

Jumatatu, 20 Agosti 2018

Dondoo kutoka kwa Vifungu Vinne vya Neno La Mungu Kuhusu "Fumbo la Kupata Mwili (4)"

Dondoo kutoka kwa Vifungu Vinne vya Neno la Mungu Kuhusu "Fumbo la Kupata Mwili (4)" Mnapaswa kujua kuhusu hadithi ya ndani na uumbaji wa Biblia. Ufahamu huu haushikiliwi na wale ambao hawajakubali kazi mpya ya Mungu. Wao hawajui. Waelezee mambo haya ya kiini,...

Jumapili, 19 Agosti 2018

Wafaa Kujua Namna Ambavyo Binadamu Wote Wameendelea Hadi Siku ya Leo

Mwenyezi Mungu alisema, Uzima wa kazi ya miaka 6,000 yote umebadilika kwa utaratibu kuambatana na nyakati. Mabadiliko katika kazi hii kumefanyika kulingana na hali zinazozunguka ulimwengu mzima. Kazi ya usimamizi ya Mungu imebadilika tu kwa utaratibu kulingana na mitindo...

Alhamisi, 16 Agosti 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuhusu Majina na Utambulisho

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuhusu Majina na Utambulisho Iwapo unataka kufaa kwa ajili ya matumizi na Mungu, lazima uijue kazi ya Mungu; lazima uijue kazi Aliyofanya awali (katika Agano Jipya na la Kale), na, zaidi ya hayo, lazima uijue kazi Yake ya leo. Ndiyo kusema,...

Jumatano, 15 Agosti 2018

Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote

Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote Mwenyezi Mungu alisema, Hatua moja ya kazi ya enzi mbili za awali ilifanyika Israeli; nyingine ilifanyika Uyahudi. Kuzungumza kwa jumla, hakuna hatua ya kazi hii iliyotoka Israeli; zilikuwa ni hatua za kazi zilizofanywa miongoni mwa...

Jumanne, 14 Agosti 2018

Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu ndio Utakuwa Wakati Ambao Mungu Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia

Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu Ndio Utakuwa Wakati Ambao Mungu Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia Je, ungependa kumwona Yesu? Je, ungependa kuishi na Yesu? Je, ungependa kusikia maneno yaliyonenwa na Yesu? Iwapo ni hivyo, basi utakaribishaje, kurudi kwa Yesu? Je, uko...

Jumamosi, 11 Agosti 2018

Kwa Nini Mungu Anaitwa kwa Majina Tofauti katika Enzi Tofauti?

Sura ya 2 Ukweli wa Majina ya Mungu 2. Kwa Nini Mungu Anaitwa kwa Majina Tofauti katika Enzi Tofauti? Maneno Husika ya Mungu: Katika kila enzi, Mungu Anafanya kazi mpya na huitwa kwa jina jipya; Je, anawezaje kufanya kazi sawa katika enzi tofauti? Itakuwaje Yeye kugandamana na yale ya zamani? Jina la Yesu lilichukuliwa kuwa la kazi ya ukombozi,...

Jumanne, 7 Agosti 2018

Kwa Nini Mungu Hutajwa Majina, na Jina Moja Linaweza Kuwakilisha Uzima wa Mungu

Sura ya 2 Ukweli wa Majina ya Mungu 1. Kwa Nini Mungu Hutajwa Majina, na Jina Moja Linaweza Kuwakilisha Uzima wa Mungu? Maneno Husika ya Mungu: Je, Jina la Yesu “Mungu pamoja nasi,” linaweza kuwakilisha tabia ya Mungu kwa ukamilifu wake? Je, linaweza kueleza Mungu kwa ukamilifu? Kama mwanadamu atasema ya kwamba Mungu Ataitwa tu Yesu,...

Ijumaa, 27 Julai 2018

Wokovu Unawezekana Tu Kupitia Imani kwa Mwenyezi Mungu

Sura ya 1 Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Ambaye Aliumba Kila kitu 3. Wokovu Unawezekana Tu Kupitia Imani kwa Mwenyezi Mungu Maneno Husika ya Mungu: Yesu Alipokuja katika ulimwengu wa mwanadamu, Alileta Enzi ya Neema na Akatamatisha Enzi...