Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-ya-Kushinda. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-ya-Kushinda. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 14 Septemba 2018

Umuhimu wa Kazi ya Mungu ya Kushinda📖📖

Sura ya 4 Ukweli wa Kazi ya Mungu ya Siku za Mwisho 2. Umuhimu wa Kazi ya Mungu ya Kushinda Maneno Husika ya Mungu: Wanadamu kwa ajili ya kupotoshwa sana na Shetani, hawajui kuwa kuna Mungu na wameacha kumwabudu Mungu. Adamu na Hawa walipoumbwa mwanzoni, utukufu wa Yehova na Ushuhuda wa Yehova daima vilikuwepo. Lakini baada ya kupotoshwa,...