Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Sheria. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Sheria. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 25 Novemba 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi Katika Enzi ya Sheria

Kazi Katika Enzi ya Sheria Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ambayo Yehova alifanya kwa Waisraeli ilianzisha mahali pa Mungu pa asili miongoni mwa binadamu, ambapo pia palikuwa pahali patakatifu ambapo Alikuwapo. Aliwekea kazi Yake mipaka kwa watu wa Israel...