Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-ni-wokovu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-ni-wokovu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 18 Oktoba 2018

Hukumu ya Neno la Mungu ni Kumwokoa Mwanadamu

Hukumu ya Neno la Mungu ni Kumwokoa Mwanadamu I Ingawa Mungu amenena maneno mengi kwako ya kuadibu, ya hukumu, hayajafanyika kwako, naam, hayajafanyika kwako kweli. Mungu alikuja kufanya kazi Yake na kunena maneno. Ingawa maneno Yake yanaweza kuwa makali, yananenwa...