Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kuja-kwa-mara-ya-pili. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kuja-kwa-mara-ya-pili. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 4 Mei 2018

Gospel Movie clip "Kusubiri" (2) - Bikira wenye Busara wanaweza kutofautisha Kristo wa kweli kati ya Kristo wa Uongo

 Gospel Movie clip "Kusubiri" (2) - Bikira wenye Busara wanaweza kutofautisha Kristo wa kweli kati ya Kristo wa Uongo Ukikabiliwa na kurudi kwa pili kwa Bwana, je, utakuwa na hofu ya Makristo wa uongo kiasi kwamba utafunga mlango ili kujilinda na kusubiri ufunuo...

Alhamisi, 3 Mei 2018

Gospel Movie clip "Kusubiri" (1) - Je, Tunapaswa Kukesha na Kungoja Vipi Kuja Mara ya Pili kwa Bwana?

Gospel Movie clip "Kusubiri" (1) - Je, Tunapaswa Kukesha na Kungoja Vipi Kuja Mara ya Pili kwa Bwana? Bwana atakapokuja tena, Atashuka na mawingu, au Atakuja kwa siri kama mwizi? Je, Utakukabili vipi kuja kwa mara ya pili kwa Bwana? Je, utakuwa na hofu kubwa ya kupotoshwa...