Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo maneno-ya-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo maneno-ya-Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Jumapili, 23 Septemba 2018
ushuhuda wa Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuinuka Kupitia Ukandamizaji wa Giza(II)
Septemba 23, 2018maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi-Mungu, Ushuhuda, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Mo Zhijian Mkoa wa Guangdong
Tulipofika kwa kikosi cha SWAT, wale polisi waovu walitulazimisha kuvua nguo zetu zote na kisha wakafunga mikono yetu pingu na kuzungusha silisili kwa miguu yetu. Halafu walitulazimisha kurukaruka mizunguko mitatu kuzunguka uga ili kutufedhehesha. Baadaye, walitutenganisha ndani ya seli za gereza. Watu waliofungiwa katika seli za gereza wote walikuwa wauaji, wote walikuwa kama pepo na madubwana. Wale polisi waovu wakawaagiza wafungwa kunitesa, lakini kwa sababu ya ulinzi wa Mungu, hao wafungwa hawakukosa tu kunidhulumu, lakini kwa kweli walinitunza.
Jumapili, 2 Septemba 2018
Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu | Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?📖📖
Septemba 02, 2018Hukumu, Kanisa, maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu | Mabadiliko ya Kweli Humaanisha Nini?
Jinru Mji wa Nanyang, Mkoa wa Henan
Wakati ndugu wa kiume au wa kike alipoonyesha dosari zangu au hakusikiza kauli yangu ama sikuhisi kushawishika au nilibishana nao. Nilijutia vitendo vyangu baadaye, lakini nilipokabiliwa na mambo haya, sikuweza kujizuia mwenyewe kuifichua tabia yangu potovu. Nilisumbuliwa na hili kwa kina, na nikafikiri: Kwa nini maneno ya wengine yanaweza kuniaibisha hadi kukasirika?
Jumatano, 8 Agosti 2018
Praise Gospel Music Swahili "Kila Kitu Kinaishi Chini ya Sheria na Masharti Yaliyowekwa na Mungu"
Neno la Mwenyezi Mungu | Praise Gospel Music Swahili "Kila Kitu Kinaishi Chini ya Sheria na Masharti Yaliyowekwa na Mungu"
Utambulisho
Miaka elfu kadhaa imepita,
na mwanadamu angali anafurahia nuru na hewa aliyopewa na Mungu,
angali anapumua pumzi iliyotolewa na Mungu Mwenyewe,
angali anafurahia maua, ndege, samaki na wadudu walioumbwa na Mungu,
na kufurahia viumbe vyote vilivyotolewa na Mungu;
mchana na usiku zingali zinabadilishana nafasi zao bila kusita;
hiyo misimu minne inabadilishana kama kawaida;
Ijumaa, 3 Agosti 2018
Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote"
Wimbo wa Maneno ya Mwenyezi Mungu | "Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote"
Utambulisho
I
Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia,
unaanza kutenda wajibu wako.
Katika mpango na utaratibu wa Mungu, unachukua nafasi yako,
na unaanza safari ya maisha.
Vyovyote vilivyo msingi wako ama safari iliyo mbele yako,
hakuna anayeweza kuepuka utaratibu na mpango ambao Mbingu imeweka,
na hakuna aliye na amri juu ya hatima yake,
kwani ni Yule tu anayetawala juu ya vitu vyote ndiye ana uwezo wa kazi kama hii.
Jumapili, 29 Julai 2018
Wimbo wa Injili | "Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa" Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu
Julai 29, 2018Mahitaji-ya-Mungu, maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, Nyimbo-za-injili, Video, Video-za-Nyimbo-za-DiniNo comments
Wimbo wa Injili | "Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa" Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu
Utambulisho
Kanisa la Mwenyezi Mungu Nyimbo za Injili | "Mungu Hutumaini Mtu Anaweza Kumjua na Kumwelewa" Mahitaji ya Mungu kwa Wanadamu
I
Tangu uhusiano wa kwanza wa Mungu na mwanadamu,
Amekuwa akifichua kwao
Kiini Chake na vile Alivyo na Alicho nacho, bila kukoma, kila wakati.
Kama watu katika enzi wanaweza kuona au kuelewa,
Mungu huzungumza na kufanya kazi ili kuonyesha tabia Yake na kiini.
Jumatano, 25 Julai 2018
Shahidi uzoefu wa Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka(2)
Julai 25, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, Ushuhuda, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
Shahidi uzoefu wa Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka(2)
Tong Xin Mkoa wa Fujian
🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻
Nilipoelewa ukweli zaidi na zaidi, nilipitia wokovu zaidi na wa kina kutoka kwa Mungu. Katika mwaka wa 2009, nilikuwa nimehudumu katika jeshi kwa miaka 20. Kwa mujibu wa kanuni za kitaifa, niliruhusiwa kwenda nje na kutafuta kazi kivyangu. Nilidhamiria kuepukana na uovu na kufanya mema, kwa hiyo nikaacha jeshi na kuchagua kuhamishwa hadi kwa kazi ya raia, na kuweka moyo wangu na nafsi yangu katika kufanya kazi kwa ajili ya Mungu. Hata hivyo, kiongozi wangu alijaribu kunishawishi kukaa na kuniuliza kulifikiria kabisa, na kiongozi mwingine mzee wa cheo cha juu alinipa ahadi ya kuwa ningepandishwa cheo kuwa kamanda wa rejimenti kama ningeendelea kufanya kazi kwa bidii.
Jumatano, 11 Julai 2018
Kutoka katika Siasa Isiyo na Kadri hadi Kutafuta kuwa Msaliaji | neno la Mwenyezi Mungu
Julai 11, 2018imani-katika-Mungu, Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, ukweli, VitabuNo comments
Kutoka katika Siasa Isiyo na Kadri hadi Kutafuta kuwa Msaliaji
1. Uhamaji wa Watu kuelekea kwenye Siasa Isiyo na Kadri
Mwenyezi Mungu alisema, Je, nyote mmekuwa mkitafuta nini hivi karibuni? Je, imekuwa mabadiliko ya tabia na kuwa na ushuhuda wa Mungu? Haijakuwa hiyo! Nawaona watu wengi tena wakitafuta kufa kwa ajili ya Mungu ili kumuaibisha Shetani. Je, mnasubiri tu kuadhibiwa badala ya kupanga kutenda ukweli ama kutafuta kubadilishwa kwa tabia, kulipiza upendo wa Mungu? Baada ya kusoma “Usaliti (1) “na “Usaliti (2), “watu walikuwa na mipango ya kufa. Wote waliamini kuwa lengo la mwisho la kazi ya Mungu lilikuwa watu kufa ili kumuaibisha Shetani. Kwa hivyo watu hawakutarajia kujipatia lolote, na hawakutafuta kwa njia nzuri, wala hawakuwa na hiari kuteseka.
Jumamosi, 30 Desemba 2017
Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani-Kanisa la Ukiwa Linatiwa Nguvu
Desemba 30, 2017Biblia, Dondoo-ya-Filamu, maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, Video, Video-za-hivi-punde1 comment
Baada ya ndugu katika pahali pa mkutano pa kanisa la Mzee wa Kanisa Liu Zhizhong kutupilia mbali pingu za Biblia, walisoma mtandaoni kuhusu kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Kwa kusoma maneno ya Mwenyezi Mungu, walistawishwa kwa maji hai ya maisha, na waliweza kurudisha imani na upendo wao wa asili na kuthibitisha ndani ya mioyo yao kwamba Mwenyezi Mungu ndiye kuja kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu. Wakati Mzee wa kanisa Liu Zhizhong aliona hili likifanyika, je, aliweza kuweka chini Biblia na kutafuta kuchunguza kazi ya Mungu katika siku za mwisho? Tafadhali tazama video hii fupi!
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.
Jumapili, 26 Novemba 2017
Kukubali Ukweli kwa Hakika Ni Nini?
Novemba 26, 2017Kukubali Ukweli, maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, ukweli, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments
53. Kukubali Ukweli kwa Hakika Ni Nini?
Xiaohe Mji wa Puyang, Mkoa wa Henan
Hapo awali, kila wakati niliposoma maneno yaliyofichuliwa na Mungu kuhusu jinsi watu hawakubali ukweli, sikuamini kwamba maneno hayo yangetumika kwangu. Nilifurahia kula na kunywa neno la Mungu na kuwasiliana kuhusu neno la Mungu, na niliweza kukubali na kukiri kila kitu ambacho Mungu amesema kuwa ukweli—bila kujali jinsi kilivyoumiza moyo wangu au jinsi hakikuambatana na mawazo yangu. Aidha, bila kujali kiwango cha dosari kaka na dada zangu wangeonyesha, ningekikiri na kukikubali.
Jumapili, 5 Novemba 2017
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi
Novemba 05, 2017Enzi ya Ukombozi, maneno-ya-Mwenyezi-Mungu, msalaba, Mwokozi Yesu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Vitabu, YesuNo comments
Maelezo ya Kweli ya Kazi Katika Enzi ya Ukombozi
Mwenyezi Mungu alisema, Mpango Wangu mzima wa usimamizi, ambao una urefu wa miaka elfu sita, unashirikisha awamu tatu, au enzi tatu: Kwanza, Enzi ya Sheria; pili, Enzi ya Neema (ambayo pia ni enzi ya Ukombozi); na mwisho, Enzi ya Ufalme.