Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Petro. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Petro. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 21 Septemba 2018

Maonyesho ya Mungu | "Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu" | Only Those Who Know God Can Be Perfected

🎬👀🎬~~~~🌻🌻🌻🌻~~~~🌺🌺🌺**********💓💓💓~~~~🌺🌺🌺🌺 Maonyesho ya Mungu | "Namna Petro Alivyopata Kumjua Yesu" | Only Those Who Know God Can Be Perfected Mwenyezi Mungu alivyosema, "Lazima muwe wazi kuhusu njia mnayotembelea; lazima muwe wazi kuhusu njia mtakayotumia kwenye siku za usoni, ni nini haswa ambacho Mungu...

Jumatatu, 9 Aprili 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuhusu Maisha ya Petro

p.p1 {margin: 0.0px 0.0px 0.0px 0.0px; font: 12.0px 'Helvetica Neue'; color: #454545} Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kuhusu Maisha ya Petro Petro ni mfano ambao Mungu aliutambulisha kwa wanadamu, na yeye ni mtu mashuhuri anayejulikana vizur...

Jumatatu, 26 Machi 2018

Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu

Matukio Aliyopitia Petro: Ufahamu Wake wa Adabu na Hukumu Alipokuwa akiadibiwa na Mungu, Petro aliomba, “Ee Mungu! Mwili wangu ni mkaidi, na unaniadibu na kunihukumu mimi. Nafurahi katika adabu Yako na hukumu, na hata kama Hunitaki mimi, katika hukumu Yako mimi ninaona...

Jumapili, 18 Machi 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Sita

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Tamko la Sita Kwa masuala ya ndani ya roho, mnapaswa kuwa makini kwa utaratibu; kwa maneno Yangu, mnapaswa kuwa wasikivu kwa makini....

Jumatano, 10 Januari 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea

Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi wanamwamini Mungu kwa ajili ya hatima yao ya baadaye au kwa ajili ya starehe ya muda mfupi. Kwa wale ambao hawajapitia ushughulikiaji wowote, imani kwa Mungu ni kwa ajili...

Jumatano, 6 Desemba 2017

Kumtumikia Mungu Mtu Anapaswa Kutembea Njia ya Petro

Sura ya 30. Kumtumikia Mungu Mtu Anapaswa Kutembea Njia ya Petro Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi hawawezi kuainisha ni watu gani wana ukweli, watu gani hawana ukweli na watu gani husema mambo yaliyo na ukweli. Unapoulizwa kueleza ni nini maana ya "ukweli," huwezi...

Jumapili, 26 Novemba 2017

Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo | Kanisa la Mwenyezi Mungu

8. Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo Wuxin Mji wa Taiyuan, Mkoa wa Shanxi Kitu ambacho tumezungumzia mara kwa mara katika ushirikiano wa awali ni njia ambazo zilitembewa na Petro na Paulo. Inasemekana kwamba Petro alizingatia kujijua mwenyewe na kumjua...