
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wimbo-wa-Uzoefu-wa-Maisha. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wimbo-wa-Uzoefu-wa-Maisha. Onyesha machapisho yote
Ijumaa, 21 Septemba 2018
nyimbo za love | Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi
Septemba 21, 2018Hukumu, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Nyimbo, nyimbo-za-love, Wimbo-wa-Uzoefu-wa-MaishaNo comments


nyimbo za love | Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi
I
Haikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi.
Sasa nina jibu kwa hilo.
Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe,
kutafuta hadhi tu na umaarufu.
Maombi kwa Mungu yaliyojaa maneno mema,
lakini nikishikilia...
Jumanne, 18 Septemba 2018
Upendo wa Kweli wa Mungu
Septemba 18, 2018Mwenyezi-Mungu, neno-la-Mungu, Nyimbo, Upendo-wa-Kweli, Wimbo-wa-Uzoefu-wa-MaishaNo comments


Upendo wa Kweli wa Mungu
I
Nasimama mbele ya Mungu wangu tena leo.
Moyo wangu una mengi ya kusema
ninapoona uso Wake wa kupendeza.
Nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Neno Lake linanijaza na raha
na furaha kutoka kwa neema Ya...
Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Kama Nisingeokolewa na Mungu
Septemba 18, 2018Mwenyezi-Mungu, Nyimbo, Upendo-wa-Mungu, Wimbo-wa-Uzoefu-wa-Maisha, WokovuNo comments


Kama Nisingeokolewa na Mungu
I
Kama nisingeokolewa na Mungu,
ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu,
nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi;
kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio.
Kama nisingeokolewa na Mungu,
bado ningekuwa nimepondwa chini ya...
Alhamisi, 13 Septemba 2018
nyimbo za love | Wimbo wa Mapenzi Matamu

@page { margin: 2cm }
p { margin-bottom: 0.25cm; line-height: 120% }
a:link { so-language: zxx }
🌺🌺🌺🌺~~~🎼🎼
→ → 🎙️🎙️ ↓↓💓💓💓💓
I
Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako.
Ni matamu sana, nakaa karibu...
Jumatano, 12 Septemba 2018
nyimbo za love | Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri

💓💓 → → 🎼🎼 → → 🎙️🎙️ ↓↓ 😊😊
I
Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu.
Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.
Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe?
Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia?
Wewe ndiye Unayenipa upendo.
Wewe...
Jumamosi, 1 Septemba 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu nyimbo za sifa | Wewe Tu Unaweza Kuniokoa Mimi→ → 🎙️🎙️
Septemba 01, 2018Hukumu, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Nyimbo, Wimbo-wa-Uzoefu-wa-Maisha, WokovuNo comments


Kanisa la Mwenyezi Mungu nyimbo za sifa | Wewe Tu Unaweza Kuniokoa Mimi
I
Mnyenyekevu na Uliyejificha,
Waambatana na watu katika matatizo yao,
Ukiwapa njia ya uzima wa milele.
Unawapenda binadamu kama mwili Wako mwenyewe.
Na Wastahili upendo wao.
Afadhali Uteseke...
Alhamisi, 30 Agosti 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu swahili worship songs | Njia Yote Pamoja na Wewe
Agosti 30, 2018Hukumu, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, neema, Nyimbo, Wimbo-wa-Uzoefu-wa-MaishaNo comments


Kanisa la Mwenyezi Mungu swahili worship songs | Njia Yote Pamoja na Wewe
@page { margin: 2cm }
h3.cjk { font-family: "Arial Unicode MS" }
h3.ctl { font-family: "Arial Unicode MS" }
p { margin-bottom: 0.25cm; line-height: 120% }
a:link { so-language:...
Jumatatu, 27 Agosti 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | swahili worship songs | Nitampenda Mungu Milele
Agosti 27, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kumpenda-Mungu, maneno-ya-Mungu, Nyimbo, Wimbo-wa-Uzoefu-wa-MaishaNo comments


Nitampenda Mungu Milele
I
Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kukurudia Wewe.
Nakubali kufundishwa katika ufalme Wako mchana na usiku.
Majaribu mengi na uchungu, dhiki nyingi sana.
Mara nyingi nilitoa machozi na kuhuzunika sana,
mara nyingi nimeanguka katika mtego...
Alhamisi, 23 Agosti 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu swahili worship songs | Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa
Agosti 23, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mungu-wa-vitendo, Nyimbo, Sifa-na-Ibada, Wimbo-wa-Uzoefu-wa-MaishaNo comments


Kanisa la Mwenyezi Mungu swahili worship songs | Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa
I
Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa.
Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana.
Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa.
Nikitafuta juu na chini,
lakini...
Jumatano, 22 Agosti 2018
Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Nimeuona uzuri wa Mungu
Agosti 22, 2018Hukumu, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Nitamtosheleza-Mungu, Nyimbo, Wimbo-wa-Uzoefu-wa-Maisha, WokovuNo comments


Wimbo wa Uzoefu wa Maisha |
Nimeuona uzuri wa Mungu
I
Nasikia sauti ijulikanayo ikiniita mara kwa mara.
Nikaamka na kuangalia kuona,
ni nani aliye pale akizungumza.
Sauti yake ni nyororo lakini kali,
picha Yake nzuri!
Nateseka kupigwa na kuvumilia maumivu...