Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-ni-Upendo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mungu-ni-Upendo. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 15 Mei 2019

Swahili Gospel Song | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo

Swahili Gospel Song | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini. Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza. Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako, nina amani kabisa. Unanibariki, Unatoa maneno Yako ya hukumu. Bado sijui jinsi ninavyokosa kuithamini neema Yako. Kila mara nikiasi,...

Jumapili, 21 Januari 2018

Swahili Gospel Song | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo

Swahili Gospel Song | "Njia Yote Pamoja na Wewe" Mungu ni Upendo Nilikuwa kama mashua, ikielea baharini. Ulinichagua, na mahali pazuri Uliniongoza. Sasa katika familia Yako, nikipewa joto na upendo Wako, nina amani kabisa. Unanibariki, Unatoa maneno Yako ya hukumu. Bado sijui jinsi ninavyokosa kuithamini neema Yako. Kila mara nikiasi, kwa...