Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kazi-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kazi-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Jumapili, 20 Oktoba 2019
Maneno ya Roho Mtakatifu | “Kiini Cha Kristo Ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba wa Mbinguni” (Dondoo 1)
Maneno ya Roho Mtakatifu | “Kiini Cha Kristo Ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba wa Mbinguni” (Dondoo 1)
Mwenyezi Mungu anasema, “Mungu mwenye mwili Anaitwa Kristo, na Kristo ni mwili uliovishwa na Roho wa Mungu. Mwili huu ni tofauti na wa mwanadamu yeyote aliye wa nyama. Tofauti hii ni kwa sababu Kristo sio wa mwili na damu bali ni mwili wa Roho....
Alhamisi, 17 Oktoba 2019
Wimbo wa Kusifu na Kuabudu | “Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu” | Kenyan gospel music
Wimbo wa Kusifu na Kuabudu | “Matendo Ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu” | Kenyan gospel music
I
Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu,
na Anatawala vitu vyote kutoka juu.
Wakati huo huo, Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia.
Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati,
kila hatua ya mwanadamu, kila kitu anachosema...
Jumatatu, 14 Oktoba 2019
Maneno ya Roho Mtakatifu | “Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima Tamko la Kumi na Tisa”
Oktoba 14, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti-ya-Mungu, VideoNo comments

Maneno ya Roho Mtakatifu | “Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima Tamko la Kumi na Tisa”
Ni wajibu wa mwanadamu kuchukua maneno Yangu kama msingi wa maisha yake. Mwanadamu lazima aanzishe fungu lake binafsi katika kila sehemu ya maneno Yangu; kutofanya hivyo kutakuwa kuuliza matata, kutafuta maangamizo yake mwenyewe. Binadamu haunijui, na kwa...
Ijumaa, 11 Oktoba 2019
Neno la Mungu | “Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima Tamko la Ishirini na Tisa” (Dondoo 1)
Neno la Mungu | “Matamshi ya Mungu kwa Ulimwengu Mzima Tamko la Ishirini na Tisa” (Dondoo 1)
Mwenyezi Mungu anasema, “Mimi Natawala katika ufalme, na zaidi ya hapo, Ninatawala katika ulimwengu mzima; Mimi ni Mfalme wa ufalme na pia Mkuu wa ulimwengu. Kutoka wakati huu na kuendelea, Nitawakusanya wote wasio wateule na Nitaanza kufanya kazi...
Jumamosi, 5 Oktoba 2019
Neno la Mungu: Sura ya 87
Oktoba 05, 2019Kazi-ya-Mungu, Mwendelezo-wa Neno-Laonekana-katika-Mwili, neno-la-Mungu, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments

Neno la Mungu: Sura ya 87
Lazima uharakishe hatua na ufanye kile Nataka kufanya. Hii ni kusudi Langu lenye hamu kwenu. Inawezekana kuwa kwa wakati huu bado hamjaelewa maana ya maneno Yangu? Inawezekana kuwa bado hamjui kusudi Langu? Nimezungumza wazi zaidi na zaidi, na kusema mengi zaidi, lakini, je, ninyi hamjajitahidi kujaribu kuelewa maana ya...
Jumatano, 2 Oktoba 2019
Sauti ya Mungu: Sura ya 88
Oktoba 02, 2019Kazi-ya-Mungu, Mwendelezo-wa Neno-Laonekana-katika-Mwili, neno-la-Mungu, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments

Sauti ya Mungu: Sura ya 88
Watu hawawezi tu kuwaza kiasi ambacho mwendo Wangu umezidisha kasi: Ni ajabu ambayo imetokea isiyoeleweka kwa mwanadamu. Tangu uumbaji wa dunia, mwendo Wangu umeendelea na kazi Yangu haijawahi kusimama. Ulimwengu wote hubadilika siku kwa siku na watu pia wanabadilika mara kwa mara. Hizi zote ni kazi Zangu, mipango...
Jumatatu, 23 Septemba 2019
Wimbo wa dini | "Ni Wakati Tu Ambapo Mungu Anakuwa Mwili Ndipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake"
Wimbo wa dini | "Ni Wakati Tu Ambapo Mungu Anakuwa Mwili Ndipo Mwanadamu Anaweza Kuwa Mwandani Wake"
Ni Wakati tu Mungu anapojinyenyekeza kwa kiwango fulani,
kumaanisha Anakuwa mwili ili kuishi kati ya wanadamu,
ndipo wataweza kuwa wasiri Wake,
ndipo watakuwa marafiki Zake wa karibu.
Mwanadamu anawezaje kupata sifa ya kuwa mwandani wa Mungu
Wakati...
Ijumaa, 20 Septemba 2019
Wimbo Mpya wa Dini 2019 | “Zingatia Majaliwa ya Binadamu” | Wokovu wa Mungu (Lyrics Video)
Wimbo Mpya wa Dini 2019 | “Zingatia Majaliwa ya Binadamu” | Wokovu wa Mungu (Lyrics Video)
Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote:
Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake;
mzingatie hatima ya wanadamu;
mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa,
Mkuu na wa pekee wakuabudiwa,
ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu,
kama...
Jumanne, 17 Septemba 2019
Wimbo Mpya wa Kuabudu 2019 | “Kristo wa Siku za Mwisho Ameleta Enzi ya Ufalme” (Swahili Gospel Song)
Wimbo Mpya wa Kuabudu 2019 | “Kristo wa Siku za Mwisho Ameleta Enzi ya Ufalme” (Swahili Gospel Song)
Yesu alipokuja katika ulimwengu wa mwanadamu,
Akatamatisha Enzi ya Sheria,
Alileta Enzi ya Neema.
Mungu mara nyingine akakuwa mwili katika siku za mwisho.
Akitamatisha Enzi ya Neema,
Alileta Enzi ya Ufalme.
Wote wanaokubali kupata mwili kwa Mungu...
Jumamosi, 14 Septemba 2019
Maneno ya Mungu : Sura ya 90
Septemba 14, 2019hukumu-ya-Mungu, Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments

Maneno ya Mungu : Sura ya 90
Wote walio vipofu lazima waondoke kutoka Kwangu na wasiwepo kwa muda zaidi hata kidogo, kwani wale ambao Nataka ni wale ambao wanaweza kunijua, wanaoweza kuniona na wanaoweza kupata vitu vyote kutoka Kwangu. Na wanaoweza kweli kupata vitu vyote kutoka Kwangu ni nani? Hakika kuna wachache sana wa mtu wa aina hii na hakika...
Jumatano, 11 Septemba 2019
Sauti ya Mungu : Sura ya 91
Septemba 11, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments

Sauti ya Mungu : Sura ya 91
Roho Wangu huongea na kutamka sauti Yangu daima—wangapi kati yenu wanaweza kunijua Mimi? Kwa nini lazima Nipate mwili na kuja kati yenu? Hili ni fumbo kubwa. Ninyi mnanifikiria kuhusu Mimi na kunitamani sana siku nzima, na mnanisifu, kunifurahia na kunila na kuninywa kila siku, na ilhali leo bado hamnijui Mimi...
Jumapili, 8 Septemba 2019
Sauti ya Mungu : Sura ya 92
Septemba 08, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments

Sauti ya Mungu : Sura ya 92
Kila mmoja anaweza kuuona uweza Wangu na hekima Yangu ndani ya maneno Ninayoyazungumza na mambo Ninayoyatenda. Popote Ninapokwenda, kazi Yangu iko pale. Hatua Zangu haziko nchini China pekee, bali muhimu zaidi, ziko katika mataifa yote ya dunia. Ya kwanza kulipokea jina hili, hata hivyo, ni mataifa saba tu ambayo yamezungumziwa...
Alhamisi, 5 Septemba 2019
Sauti ya Mungu : Sura ya 93
Septemba 05, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments

Sauti ya Mungu : Sura ya 93
Ukweli unatimizwa mbele ya macho ya mtu na mambo yote yametimizwa. Kazi Yangu inapata hatua, ikipanda juu kama roketi iliyofyatuliwa, ambayo hakuna mtu aliwahi kutarajia. Ni baada ya vitu kufanyika ndipo mtaelewa maana ya kweli ya maneno Yangu. Watoto wa joka kubwa jekundu si wa pekee na lazima wafanywe kushuhudia matendo...
Jumatatu, 2 Septemba 2019
Maneno ya Mungu : Sura ya 94
Septemba 02, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments

Maneno ya Mungu : Sura ya 94
Narudi Sayuni pamoja na wazaliwa Wangu wa kwanza—kweli mnaelewa maana ya kweli ya maneno haya? Nimewakumbusha tena na tena kwamba Mimi nataka mkue haraka ili mtawale na Mimi. Je, mnakumbuka? Vitu hivi vyote vinahusiana moja kwa moja na kupata mwili Kwangu. Kutoka Sayuni Nilikuja duniani katika nyama ili Nipate kupitia...
Ijumaa, 30 Agosti 2019
Sauti ya Mungu : Sura ya 95
Agosti 30, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, sauti-ya-Mungu, VitabuNo comments

Sauti ya Mungu : Sura ya 95
Watu hufikiri kila kitu kuwa rahisi sana, wakati kwa kweli hali siyo hivyo. Ndani ya kila kitu kuna siri zilizofichwa, na vile vile hekima Yangu na mipango Yangu. Hakuna utondoti usioangaliwa, na yote yanapangwa na Mimi Mwenyewe. Hukumu ya siku kuu inawafikia wale wote wasionipenda kwa kweli (kumbuka, hukumu ya siku kuu...
Jumanne, 27 Agosti 2019
Sauti ya Mungu : Sura ya 96
Sauti ya Mungu : Sura ya 96
Nitamwadibu kila mtu aliyezaliwa kutoka Kwangu ambaye bado hanijui ili kuonyesha ghadhabu Yangu yote, kuonyesha nguvu Zangu kuu, na kuonyesha hekima Yangu kamili. Ndani Yangu kila kitu ni chenye haki na bila shaka hakuna udhalimu, hakuna udanganyifu, na hakuna upotovu; yeyote ambaye ni mpotovu na mdanganyifu lazima awe...
Jumanne, 6 Agosti 2019
"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 1 Matukio ya Kuzimu | Kwaya za Injili
"Kwaya ya Kichina Onyesho la 13" Clip 1 Matukio ya Kuzimu | Kwaya za Injili
Je, unafikiria kuna kuzimu? Je, kuzimu iko namna gani hasa? Tafadhali fuatilia dondoo hii ya video!
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho....
Jumatano, 31 Julai 2019
Neno la Mungu | “Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye Anayemwamini Mungu Kweli” (Dondoo)
Neno la Mungu | “Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye
Anayemwamini Mungu Kweli” (Dondoo)
Mwenyezi Mungu anasema, “Kuchunguza kitu cha aina hii sio vigumu, lakini kunahitaji kila mmoja wetu ajue ukweli huu: Yeye Aliye mwili wa Mungu Atakuwa na dutu ya Mungu, na Yule Aliye Mungu katika mwili Atakuwa na maonyesho ya Mungu. Kwa maana Mungu Hupata...
Jumapili, 28 Julai 2019
Sauti ya Mungu | Sura ya 98
Julai 28, 2019Kazi-ya-Mungu, neno-la-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments

Sauti ya Mungu | Sura ya 98
Mambo yote yatakuja juu ya kila mmoja wenu, na yatawawezesha kujua zaidi juu Yangu na kuwa na uhakika zaidi juu Yangu. Yatawawezesha kunijua, Mungu mmoja Mwenyewe, kunijua Mimi Mwenye uweza, kunijua Mimi Mungu Mwenyewe mwenye mwili. Baadaye, Nitatoka katika mwili, Nirudi Sayuni, Nirudi katika nchi nzuri ya Kanaani,...
Alhamisi, 25 Julai 2019
Wimbo Mpya wa Dini 2019 | "Upendo Safi Bila Dosari" (Lyrics Video)
Wimbo Mpya wa Dini 2019 | "Upendo Safi Bila Dosari" (Lyrics Video)
I
Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.
Tumia moyo, tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.
Tumia moyo, Tumia moyo, kupenda, kuhisi, kutunza.
Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,
hutazamii kupata kitu, cha malipo.
Ukipenda...