Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Asili-ya-mtu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Asili-ya-mtu. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 14 Mei 2018
46. Maana halisi ya "Uasi dhidi ya Mungu"
Mei 14, 2018Asili-ya-mtu, Hukumu, Mungu, ukweli, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, VitabuNo comments

46. Maana halisi ya "Uasi dhidi ya Mungu"
Zhang Jun Mji wa Shenyang, Mkoa wa Liaoning
Katika siku za nyuma, niliamini kuwa "uasi dhidi ya Mungu" ilimaanisha kumsaliti Mungu, kuacha kanisa, au kuutelekeza wajibu wa mtu. Nilidhani tabia hizi hufanyiza uasi. Kwa hiyo, wakati wowote niliposikia kuhusu watu wakihusika katika tabia...