Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada “Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki”

Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale, na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki. Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga, wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.

Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | “Bwana Wangu Ni Nani” ( Filamu za Injili )

Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.”

Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki “ Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19” | Haleluya

Mungu ametutunza daima–Yeye amesikiliza maombi yetu! Anajua tumekuwa tukitamani kurejea Kwake! Sasa kwa hakika Amerejea! Tunasubiri nini bado? Tafadhali endelea kutazama drama yenye muziki ya Kanisa la Mwenyezi Mungu—Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo!

NYENDO ZA MATESO YA KIDINI NCHINI CHINA (Christian Videos) swahili

Wakristo wanaoteswa katika filamu hii ni watu kutoka kwa vikundi vya kidini na madhehebu tofauti ambao walitafuta ukweli, na ambao waliisikia sauti ya Mungu na hivyo wakarudi kwa Mwenyezi Mungu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Usafishaji. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Usafishaji. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 14 Aprili 2019

Ni Lazima Wale Wanaofaa Kukamilishwa Wapitie Usafishaji

Kama unamwamini Mungu, ni lazima umtii Mungu, uweke ukweli katika vitendo na utimize wajibu wako wote. Zaidi ya hayo, ni lazima uelewe mambo unayopaswa kupitia. Ikiwa unapitia tu kushughulikiwa, kufundishwa nidhamu na hukumu, kama wewe unaweza tu kumfurahia Mungu, lakini huwezi kuhisi wakati Mungu anakufundisha nidhamu au kukushughulikia, hili halikubaliki. Labda katika wakati huu wa usafishaji unaweza kushikilia msimamo wako. Hii bado haitoshi; ni lazima uendelee mbele.

Jumapili, 20 Januari 2019

Nyimbo za dini | Usafishaji wa Mungu wa Mwanadamu Ni Wa Maana Zaidi

Nyimbo za dini | Usafishaji wa Mungu wa Mwanadamu Ni Wa Maana ZaidiI

Akikabiliwa na mtazamo wa mwanadamu kwa Mungu,
Mungu amefanya kazi mpya, ili mwanadamu aweze kuwa na
maarifa na utiifu Kwake, upendo na ushuhuda Kwake.

Jumamosi, 28 Aprili 2018

Ulinzi Bora Zaidi wa Mungu kwa Wanadamu

 Ulinzi Bora Zaidi wa Mungu kwa Wanadamu

Mji wa Kuiqian Rizhao, Mkoa wa Shandong
Kituo changu katika maisha, au hadhi, kilikuwa kitu ambacho sikuweza kamwe kukiachilia, na wakati Mungu alitengeneza mazingira yaliyonifichua, nilikuwa hasi, nikilalamika, na kukata tamaa tu. Ni kwa njia ya kusafishwa baada ya kusafishwa tu nilipopata kuelewa nia nzuri za Mungu, na kwamba kunijaribu Kwake