Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada “Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki”

Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale, na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki. Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga, wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.

Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | “Bwana Wangu Ni Nani” ( Filamu za Injili )

Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.”

Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki “ Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19” | Haleluya

Mungu ametutunza daima–Yeye amesikiliza maombi yetu! Anajua tumekuwa tukitamani kurejea Kwake! Sasa kwa hakika Amerejea! Tunasubiri nini bado? Tafadhali endelea kutazama drama yenye muziki ya Kanisa la Mwenyezi Mungu—Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo!

NYENDO ZA MATESO YA KIDINI NCHINI CHINA (Christian Videos) swahili

Wakristo wanaoteswa katika filamu hii ni watu kutoka kwa vikundi vya kidini na madhehebu tofauti ambao walitafuta ukweli, na ambao waliisikia sauti ya Mungu na hivyo wakarudi kwa Mwenyezi Mungu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwenyezi-Mungu-alisema. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwenyezi-Mungu-alisema. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 14 Novemba 2018

Swahili Christian Video "Mazungumzo" (6) : Jinsi Wakristo Wanavyojibu "Chambo cha Familia" cha CCP


Swahili Christian Video "Mazungumzo" (6) : Jinsi Wakristo Wanavyojibu "Chambo cha Familia" cha CCP

Wakati ambapo CCP hakipati mafanikio katika jitihada zake za kuwalazimisha Wakristo kumtelekeza Mungu kupitia mateso yao ya ukatili na kutia kasumba, wao kisha huzitumia familia zao kama chambo kuwajaribu. Wakiwa wamekabiliwa na mbinu hizi duni, Wakristo husimamaje imara na haki, wakizikanusha? Na wao hutoa onyo gani?

Mwenyezi Mungu alisema, Kumbuka tukio katika Biblia ambapo Mungu aliangamiza Sodoma, na fikiria pia jinsi mke wa Loti alivyokuwa nguzo ya chumvi. Fikiria nyuma jinsi watu wa Ninawi walitubu dhambi zao kwa gunia na majivu, na kumbuka kilichofuata baada ya Wayahudi kumsulubisha Yesu miaka 2,000 iliyopita. 

Jumatano, 7 Novemba 2018

Tamko la Arubaini na Mbili

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Jinsi gani matendo ya Mwenyezi Mungu yalivyo makuu! Jinsi ilivyo ya ajabu! Jinsi ilivyo ya kushangaza! Tarumbeta saba zinatoa sauti, ngurumo saba zinatolewa, bakuli saba zinamwangwa—hii itadhihirika wazi mara moja na hakuwezi kuwa na shaka. Upendo wa Mungu huja juu yetu kila siku na ni Mwenyezi Mungu pekee Anayeweza kutuokoa; kama tunakabiliwa na bahati mbaya au kupokea baraka ni kwa sababu Yake kabisa, na sisi wanadamu hatuna njia ya kuamua hili. Wale wanaojitolea kwa moyo wote kwa Mungu hakika watapewa baraka nyingi, ilhali wale wanaotafuta kulinda maisha yao watapoteza maisha yao; vitu vyote na mambo yote yamo mikononi mwa Mwenyezi Mungu. Usisitishe hatua zako tena. Mabadiliko makubwa yanakuja mbinguni na duniani; mwanadamu hana njia ya kujificha na kuna kulia kwa uchungu tu, hakuna chaguo lingine. Fuata kazi ya sasa ya Roho Mtakatifu, kila mwanadamu anapaswa kuwa dhahiri ndani yake kuhusu hatua ambayo kazi Yake imeendelea, hakuna tena haja ya kukumbushwa na wengine. Sasa njoo mbele ya Mwenyezi Mungu mara nyingi, na umwombe kila kitu. Hakika Atakupa nuru ndani na katika nyakati muhimu Atakulinda.

Jumanne, 6 Novemba 2018

Tamko la Arubaini na Tatu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,
Je, Sijawakumbusha? Msiwe wenye hofu; ninyi hamjanisikiliza tu, watu wasio na fikira ninyi! Je, mtaweza kuuelewa moyo Wangu lini? Kila siku kuna nuru mpya, kila siku kuna mwanga mpya. Ni mara ngapi mmeuelewa kwa ajili yenu wenyewe? Je, Sijawaambia Mwenyewe? Bado ninyi ni wa kukaa tu kama wadudu ambao watasonga tu wanaposukumwa, lakini hamwezi kuchukua hatua ya kushirikiana na Mimi, kuufikiria mzigo Wangu. Ningependa kuona tabasamu zenu changamfu na za kupendeza, kuona mwenendo wa Wanangu ulio wa vitendo na mchangamfu, lakini Siwezi. Badala yake, ninyi mmepungukiwa na akili, ni wajinga, na wapumbavu. Mnapaswa kuanza kutafuta. Fuatilia kwa ujasiri! Fungueni tu nyoyo zenu na mniruhusu Niishi ndani yenu. Tahadharini na muwe macho! Watu wengine katika kanisa ni wadanganyifu na mnapaswa kutilia mkazo sana maneno haya kila mara, maisha yenu yasije yakaathiriwa au kupata hasara fulani. Ondoa wasiwasi, mradi una ujasiri wa kusimama na kuzungumza kwa ajili Yangu, Nitachukua mzigo wa yote na kukupa uwezo! Mradi unauridhisha moyo Wangu, Nitakuonyesha tabasamu Yangu na mapenzi Yangu kila mara.