Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo furaha. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo furaha. Onyesha machapisho yote
Jumanne, 9 Aprili 2019
Wimbo wa Injili | 16. Wimbo wa Upendo Mtamu
Aprili 09, 2019furaha, maisha, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Vitabu, Wimbo-za-InjiliNo comments
Ⅰ
Ndani ya moyo wangu, kuna upendo Wako. Mtamu sana, nasonga karibu na Wewe.
Kujali kukuhusu Wewe kunaufanya moyo wangu kuwa mtamu; kukutumikia Wewe kwa mawazo yangu yote.
Kinachouongoza moyo wangu, ni upendo Wako; nafuata nyayo Zako za upendo.
Jumamosi, 6 Aprili 2019
Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma
Aprili 06, 2019furaha, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Ufalme, Upendo-wa-Mungu, VideoNo comments
Ijumaa, 5 Aprili 2019
Wimbo wa Kuabudu | Upendo wa Mungu Unaenea Duniani Kote
Aprili 05, 2019furaha, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Upendo-wa-Mungu, Vitabu, watu-wa-MunguNo comments
Wimbo wa Kuabudu | Upendo wa Mungu Unaenea Duniani Kote
Ⅰ
Mwenyezi Mungu, Wewe ni mwenye haki, Wewe ni mtakatifu.
Upendo Wako safi ni kama chembe ya theluji ikicheza hewani,
nyeupe, nzuri, inayonukia, ikiniangukia, ikiyeyuka katika upendo wangu mara moja.
Kupitia uboreshaji Wako upendo wangu Kwako umekuwa halisi kabisa.
Alhamisi, 4 Aprili 2019
Wimbo wa Kuabudu | “Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu” | Kids Dance
Aprili 04, 2019furaha, Kumpenda-Mungu, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Ufalme, VideoNo comments
Wimbo wa Kuabudu | “Wale Wanaompenda Mungu kwa Dhati Wote ni Watu Waaminifu” | Kids Dance
Safi na mwaminifu, kama mtoto bila hatia,
mchangamfu na mwenye nguvu za ujana,
wao ni kama malaika wanaokuja ulimwenguni.
Bila udanganyifu, na mioyo iliyo wazi tu, wao ni waadilifu.
Wanatoa mioyo yao kwa Mungu na kupata imani Yake.
Wao ni watu waaminifu ambao Mungu anapenda.
Kuacha maneno ya Mungu yatuongoze kila siku,
tumebarikiwa na Roho Mtakatifu anatuongoza.
Jumatatu, 1 Aprili 2019
Wimbo wa Kuabudu | Maisha yangu ni Huru na Yamewachiliwa
Aprili 01, 2019furaha, Mapenzi-ya-Mungu, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, upendo-kwa-Mungu, VitabuNo comments
Wimbo wa Kuabudu | Maisha yangu ni Huru na Yamewachiliwa
Ⅰ
Moyo wangu unapaa nje, unapaa nje.
Nitalipiza upendo wa Mungu, sitakosa kuonyesha hisia tena.
Wakati mmoja nilisoma visivyo mapenzi ya Mungu na sikujali kumhusu Yeye.
Lakini sasa nimeona kuwa Mungu anangoja upendo wangu.
Nitajaribu niwezavyo kumtosheleza Mungu, na kukubali Aupate moyo wangu.
Jumamosi, 30 Machi 2019
Wimbo wa Kuabudu | Hatimaye Nimemwona Mungu
Machi 30, 2019furaha, maisha, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Vitabu, wimbo-wa-kuabuduNo comments
Wimbo wa Kuabudu | Hatimaye Nimemwona Mungu
Ⅰ
Nilikuja katika uwepo Wako siku hiyo, moyo wangu ukiwa umejaa tamaa ya kina.
Macho yangu yalipojawa na machozi, mkono Wako ulinipapasa.
Majonzi na huzuni ulimwagika kutoka moyoni mwangu.
Maisha yangu ya awali yakipita mbele ya macho yangu; majonzi na uchungu vikigongana kwa kutanafusi.
Jumatano, 27 Machi 2019
Wimbo wa Dini | Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani
Machi 27, 2019furaha, Kumpenda-Mungu, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Ufalme, VitabuNo comments
Wimbo wa Dini | Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani
Ⅰ
Nimerejea katika familia ya Mungu, nikiwa mwenye msisimko na furaha.
Nina bahati ya kukujua Wewe Mwenyezi Mungu, nimekupa moyo wangu.
Ingawa nimepitia katika Dunia ya Mateso, nimeona jinsi Mungu anavyopendeza.
Jumapili, 24 Machi 2019
Hebu Tuone ni Nani Anayemshuhudia Mungu Vema Zaidi
Machi 24, 2019furaha, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, neema-ya-mungu, Nyimbo, VitabuNo comments
Mwenyezi Mungu wa kweli, nakupenda. Naimba wimbo wa sifa,
nikicheza ngoma ya furaha na changamfu, kwa ajili Yako tu, Mwenyezi Mungu.
Tunaweza kukusifu Wewe kama leo—haya Mungu ameamua kabla.
Mungu wa kweli Ametushinda; sote tunakuja kumsifu Yeye.
Alhamisi, 14 Juni 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | 40. Kuna Furaha Kubwa Katika Uaminifu
Juni 14, 2018furaha, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Gan'en Mji wa Hefei, Mkoa wa Anhui
Katika maisha yangu, siku zote nimeongozwa na msemo, "Mtu hapaswi kuwa na moyo wa kuwadhuru wengine, lakini lazima awe macho ili asidhuriwe" katika uingiliano wa kijamii. Kamwe huwa siwaridhii wengine imani yangu kwa urahisi. Daima nimehisi kuwa katika hali ambapo hujui nia za kweli ya mtu, hupaswi kuonyesha nia yako punde sana. Kwa hiyo, inatosha kuweka mtazamo wa amani—kwa njia hii unajilinda na utafikiriwa na wenzako wa rika kama "mtu mzuri."