Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada “Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki”

Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale, na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki. Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga, wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.

Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | “Bwana Wangu Ni Nani” ( Filamu za Injili )

Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.”

Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki “ Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19” | Haleluya

Mungu ametutunza daima–Yeye amesikiliza maombi yetu! Anajua tumekuwa tukitamani kurejea Kwake! Sasa kwa hakika Amerejea! Tunasubiri nini bado? Tafadhali endelea kutazama drama yenye muziki ya Kanisa la Mwenyezi Mungu—Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo!

NYENDO ZA MATESO YA KIDINI NCHINI CHINA (Christian Videos) swahili

Wakristo wanaoteswa katika filamu hii ni watu kutoka kwa vikundi vya kidini na madhehebu tofauti ambao walitafuta ukweli, na ambao waliisikia sauti ya Mungu na hivyo wakarudi kwa Mwenyezi Mungu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo imani-katika-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo imani-katika-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 26 Januari 2019

Nyimbo za dini | Ufuatiliaji Unaopaswa Kufuatwa na Waumini

 Nyimbo za dini | Ufuatiliaji Unaopaswa Kufuatwa na Waumini

I
Mungu amefanya kazi kiasi gani ndani yako?
Umepitia kiasi gani, na kuonja kiasi gani?
Anakujaribu, anakufunza nidhamu. Anatekeleza kazi Yake kwako.
Kama mmoja anayetafuta ukamilishaji wa Mungu, je, unaweza kuonyesha matendo Yake yote,
kuwaruzuku wengine kwa njia ya uzoefu na kujitumia mwenyewe kufanya kazi Yake?
Kufuatilia kuonyesha matendo ya Mungu.

Ijumaa, 25 Januari 2019

Lazima Uweke Imani Katika Mungu Juu ya Vingine Vyote

I
Ikiwa unataka kuamini,
ikiwa unataka kumpata Mungu na kuridhika Kwake,
kama huvumilii maumivu na kuweka juhudi,
hutaweza kufanikisha mambo haya.

Jumanne, 8 Januari 2019

Enzi Tofauti, Kazi Tofauti ya Mungu

Katika siku za mwisho, hasa ni ukweli
kwamba "Neno linakuwa mwili"
ambalo limetimizwa na Mungu.
I
Kupitia kazi Yake halisi duniani,
Mungu humfanya mwanadamu kumjua,
humfanya mwanadamu kushiriki naye,
na humfanya mwanadamu aone matendo Yake halisi.

Alhamisi, 27 Desemba 2018

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, nyimbo,
Kwenye mkutano wetu wa mwisho tuliweza kuzungumzia mada muhimu sana. Je, mnakumbuka mada hiyo ilikuwa kuhusu nini? Hebu Niirudie. Mada ya ushirika wetu wa mwisho ilikuwa: Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe.

Jumanne, 25 Desemba 2018

Ahadi kwa Wale Ambao Wamekamilishwa


Ni njia gani ambayo Mungu hutumia kumkamilisha mwanadamu? Ni vipengele vipi vinavyojumuishwa? Je, uko tayari kukamilishwa na Mungu? Je, uko tayari kukubali hukumu na kuadibu kwa Mungu? Unajua nini kuhusu maswali haya? Kama huwezi kuzungumzia maarifa kama haya, basi hii inaonyesha kwamba bado huijui kazi ya Mungu na hujapatiwa nuru katu na Roho Mtakatifu.

Jumatano, 11 Julai 2018

Kutoka katika Siasa Isiyo na Kadri hadi Kutafuta kuwa Msaliaji | neno la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Kutoka katika Siasa Isiyo na Kadri hadi Kutafuta kuwa Msaliaji

1. Uhamaji wa Watu kuelekea kwenye Siasa Isiyo na Kadri


Mwenyezi Mungu alisema, Je, nyote mmekuwa mkitafuta nini hivi karibuni? Je, imekuwa mabadiliko ya tabia na kuwa na ushuhuda wa Mungu? Haijakuwa hiyo! Nawaona watu wengi tena wakitafuta kufa kwa ajili ya Mungu ili kumuaibisha Shetani. Je, mnasubiri tu kuadhibiwa badala ya kupanga kutenda ukweli ama kutafuta kubadilishwa kwa tabia, kulipiza upendo wa Mungu? Baada ya kusoma “Usaliti (1) “na “Usaliti (2), “watu walikuwa na mipango ya kufa. Wote waliamini kuwa lengo la mwisho la kazi ya Mungu lilikuwa watu kufa ili kumuaibisha Shetani. Kwa hivyo watu hawakutarajia kujipatia lolote, na hawakutafuta kwa njia nzuri, wala hawakuwa na hiari kuteseka.

Jumamosi, 19 Mei 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Vitabu vya Shetani Vinaweza Kutulisha Sumu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Vitabu vya Shetani Vinaweza Kutulisha Sumu

Peihe    Jiji la Xianning, Mkoa wa Hubei
Daima niliamini kwamba mimi na mume wangu tulipitia maisha yetu "na nyuso zetu kwa mchanga na migongo yetu kwa jua" kwa sababu hatukusoma vya kutosha tulipokuwa vijana, na kwa sababu hatukuwa na elimu. 

Jumatano, 16 Mei 2018

"Imani katika Mungu" (6) - Imani ya Kweli katika Mungu Inamaanisha Nini?


"Imani katika Mungu" (6) - Imani ya Kweli katika Mungu Inamaanisha Nini?

Utambulisho

Watu wengi wanaamini kwamba imani katika Mungu ni imani katika Biblia, na kwamba kumfanyia Bwana kazi kwa bidii ni uhalisi wa kuamini katika Mungu. Hakuna mtu katika ulimwengu wa dini ana uwezo wa kuelewa kabisa imani ya kweli katika Mungu ina maana gani. Mwenyezi Mungu anasema, “‘Imani katika Mungu’ inamaanisha kuamini kuwa kuna Mungu; hii ndiyo dhana rahisi zaidi ya imani katika Mungu.

Jumanne, 15 Mei 2018

"Imani katika Mungu" (5) - Je, Kufanya Kazi kwa Bidii kwa ajili ya Bwana ni Uhalisi wa Imani katika Bwana?


"Imani katika Mungu" (5) - Je, Kufanya Kazi kwa Bidii kwa ajili ya Bwana ni Uhalisi wa Imani katika Bwana?

Utambulisho

Waumini wengi huamini kwamba mradi tunalilinda jina la Bwana, kuomba mara kwa mara, kusoma Biblia na kuwa na mikutano, na mradi sisi huyaacha vitu, hutumia rasilmali na kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya Bwana, basi hii ni imani ya kweli katika Bwana, na tutaweza kunyakuliwa hadi katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaporudi.

Alhamisi, 10 Mei 2018


"Imani katika Mungu" (2) - Je, Njia Inayoshutumiwa na CCP na Miongoni mwa Watu wa Dini Siyo Njia ya kweli?

Utambulisho
Watu wengi hutafuta na kuchunguza njia ya kweli pasipo kutegemeza vitendo hivi katika maneno na kazi ya Mungu. Badala yake, wao hufuata mitindo ya ulimwengu wa dini na wanaamini kwamba kile ambacho serikali ya kikomunisti ya China na ulimwengu wa dini inalaani sio njia ya kweli—je, hii ni njia sahihi ya kuelekea? Biblia inasema, “dunia nzima hukaa ndani ya maovu."(1 Yohana 5:19). “Hiki ni kizazi kiovu” (Luka 11:29). Hivyo inaweza kuonekana kwamba mifumo ya kisiasa ya kukana Mungu na ulimwengu wa dini hakika utakana na kuishutumu njia ya kweli. Wakati ambapo Bwana Yesu alifanya kazi Yake katika Enzi ya Neema, serikali ya Kiyahudi na ya Kirumi zilimpinga na kumtia hatiani kwa hasira, na mwishowe Bwana Yesu alisulubishwa msalabani. Je, si huu ni ukweli wa hali? Mwenyezi Mungu anapokuja kufanya kazi Yake katika siku za mwisho, Anapitia uasi mkali na shutuma ya serikali ya China na ulimwengu wa dini. Hili linaonyesha nini? Je, si hili linastahili sisi kulitafakari?
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Soma Zaidi: Kujua Kanisa la Mwenyezi MunguUmeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Alhamisi, 26 Aprili 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga

Kupenya Ukungu ili Kuona Mwanga

Faith China
Mimi ni mfanyakazi wa kawaida. Mwishoni mwa Novemba, 2013, mfanyakazi mwenza aliona kwamba mke wangu na mimi tungefanya kelele nyingi sana juu ya vitu vidogo, kwamba kila siku tulikuwa na wasiwasi na huzuni, hivyo alipitisha kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku mwisho kwetu. Kutoka kwa neno la Mwenyezi Mungu, tumejifunza kwamba mbingu na dunia na vitu vyote viliumbwa na Mungu, na kwamba uhai wa mtu amekirimiwa na Mungu.

Jumanne, 24 Aprili 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuna Furaha Kubwa Katika Uaminifu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kuna Furaha Kubwa Katika Uaminifu

Gan'en    Mji wa Hefei, Mkoa wa Anhui
Katika maisha yangu, siku zote nimeongozwa na msemo, "Mtu hapaswi kuwa na moyo wa kuwadhuru wengine, lakini lazima awe macho ili asidhuriwe" katika uingiliano wa kijamii. Kamwe huwa siwaridhii wengine imani yangu kwa urahisi. 

Jumamosi, 2 Desemba 2017

Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Yote Yanafanikishwa Kupitia kwa Neno la Mungu

Mwenyezi Mungu alisema,  Mungu huzungumza maneno Yake na kufanya kazi Yake kulingana na enzi tofauti, na katika enzi tofauti, Anazungumza maneno tofauti. Mungu hafuati sheria, ama kurudia kazi ya awali, ama kuhisi hali ya kumbukumbu kwa vitu vilivyopita; ni Mungu ambaye ni mpya kila wakati na hazeeki, na kila siku anazungumza maneno mapya. Lazima uyafuate yale ambayo lazima yafuatwe leo; haya ni majukumu na kazi ya mwanadamu. Ni muhimu kwamba utendaji uwekwe katika nuru iliyopo na maneno ya Mungu katika siku ya leo.