Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Bwana-Yesu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Bwana-Yesu. Onyesha machapisho yote
Jumamosi, 23 Februari 2019
Ni Nini Maana ya Krismasi, na Je, Unamwabudu Bwana Yesu Kweli?
Februari 23, 2019Bwana-Yesu, Kupata-Mwili, kutoka-katika-Imani-na-Maisha, maneno-ya-Mungu, VitabuNo comments
Kila mwaka, Krismasi inapokaribia, maduka kwenye mitaa hutayarisha maonyesho yang’aayo ya zawadi za Krismasi, pamoja na Baba Krismasi na miti ya Krismasi, na kadhalika. Kuna taa nyingi za rangi nyingi zilizoning’inizwa katika miti na kwenye majengo, na miji mizima hupambwa kwa fanusi na mapazia ya rangi nyingi, na kila mahali kuna furaha na msisimko.
Jumamosi, 9 Februari 2019
Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Miaka Elfu Mbili ya Kungoja
Februari 09, 2019Bwana-Yesu, Kuonekana-kwa-Mungu, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, VitabuNo comments
Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Miaka Elfu Mbili ya Kungoja
I
Kwamba Mungu amekuwa mwili hutikisa ulimwengu wa kidini,
inavuruga utaratibu wa kidini,
na inakoroga roho za wale wanaongoja kuonekana kwa Mungu.
Nani asiyeshangazwa na haya? Ni nani asiye na hamu ya kumwona Mungu?
Mungu ameishi kwa miaka mingi kati ya binadamu, lakini binadamu hafahamu.
Jumatatu, 21 Januari 2019
Nyimbo za dini | Muige Bwana Yesu
Januari 21, 2019Bwana-Yesu, Mapenzi-ya-Mungu, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Nyimbo za dini | Muige Bwana Yesu
I
Yesu alikamilisha misheni ya Mungu,
kazi ya ukombozi ya kila mwanadamu
kwa kutoa kujali Kwake kwa mapenzi ya Mungu,
bila madhumuni au mipango ya ubinafsi.
Katikati Aliweka mpango wa Mungu.
Jumamosi, 22 Desemba 2018
"Nimewahi Treni ya Mwisho" (5) : Matokeo Yanayofikiwa na Kazi ya Mungu Aliyepata Mwili
"Nimewahi Treni ya Mwisho" (5) : Matokeo Yanayofikiwa na Kazi ya Mungu Aliyepata Mwili
Bwana Yesu alitabiri kwamba katika zile siku za mwisho, ngano itatenganishwa na matawi, kondoo na mbuzi, na watumishi wema kutoka kwa watumishi waovu.
Ijumaa, 26 Oktoba 2018
Swahili Gospel Video Clip "Mungu Kuja Duniani na Kuwa Sadaka ya Dhambi"
Utambulisho
Swahili Gospel Video Clip "Mungu Kuja Duniani na Kuwa Sadaka ya Dhambi"
Wakati wa Enzi ya Neema, Bwana Yesu alikuja miongoni mwa mwanadamu na kusulubiwa kwa ajili yake. Alimkomboa mwanadamu kutoka kwa utumwa wa sheria, na kwa sababu ya sadaka ya dhambi, wanadamu walifurahia upendo wa Bwana na huruma…. Kuja kwa Bwana Yesu kumleta mwanadamu kwa enzi mpya.
Jumatano, 24 Oktoba 2018
Swahili Christian Video "Bwana Anakuja Kwa Namna Gani Hasa?" | The Son of Man Has Come to Earth
Oktoba 24, 2018Bwana-Yesu, Mfululizo-wa-Maonyesho-Mbalimbali, siku-za-mwisho, Umeme-wa-Mashariki, VideoNo comments
Utambulisho
Swahili Christian Video "Bwana Anakuja Kwa Namna Gani Hasa?" (Mazungumzo Chekeshi) | The Son of Man Has Come to Earth
Katika siku za mwisho, hali ya moyo ya Wakristo wanaongoja kurudi kwa Bwana Yesu inakuwa kali sana, lakini ni kwa vipi, hasa, Bwana atarudi? Baadhi wanasema, "Bwana Yesu atakuja na mawingu." Wengine wanasema, "Unabii unaotabiri kurudi Kwake nao unasema, 'Tazama, mimi nakuja kama mwizi' (Ufu 16:15).
Jumapili, 21 Oktoba 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Sketch "Onyo Kutoka kwa Historia" (Kichekesho)
Oktoba 21, 2018Biblia, Bwana-Yesu, Mfululizo-wa-Maonyesho-Mbalimbali, siku-za-mwisho, VideoNo comments
Utambulisho🎬🎬🎬👀
Swahili Christian Sketch "Onyo Kutoka kwa Historia" (Kichekesho)
Onyo Kutoka kwa HistoriaMiaka elfu mbili iliyopita, wakati Bwana Yesu alipotokea na kufanya kazi, Mafarisayo walikwamia sheria na kukashifu kazi Yake, wakisema kuwa kazi Yake ilienda zaidi ya Maandiko.Ili kulinda hali zao na maisha yao, walijitahidi kwa nguvu zao zote ili kuwazuia watu kutafuta kazi ya Bwana Yesu, na kujiunga na serikali ya Kirumi kumsulubisha msalabani.
Ijumaa, 5 Oktoba 2018
Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (2) - Tunawezaje Kuwa na Uhakika kuwa Bwana Yesu Tayari Amerudi?
Oktoba 05, 2018Bwana-Yesu, Dondoo-za-Filamu, Filamu-za-Injili, Roho-Mtakatifu, Umeme-wa-Mashariki, VideoNo comments
Utambulisho🎬👀💞💞💞💞
Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (2) - Tunawezaje Kuwa na Uhakika kuwa Bwana Yesu Tayari Amerudi?
Tangu makanisa yalipoanza kukumbwa na ukiwa, ndugu wengi katika Bwana wamehisi kwa uwazi ukosefu wa kazi ya Roho Mtakatifu na uwepo wa Bwana, na wote wanatamani kurudi kwa Bwana. Lakini wakati tunaposikia habari ya kwamba Bwana Yesu tayari amerudi, tunawezaje kuwa na uhakika wa hili?
Jumatano, 3 Oktoba 2018
Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (1) - Je, Ni Vipi Unabii wa Kurudi kwa Bwana Yesu Unatimia?
🎬👀~~~~🌻🌻🌻🌻🌻****** 💓💓💓
Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (1) - Je, Ni Vipi Unabii wa Kurudi kwa Bwana Yesu Unatimia?
Watu wengi katika ulimwengu wa kidini hufuata unabii unaosema kwamba Bwana atashuka akiwa juu ya wingu na wanamsubiria Yeye kuja kwa njia hiyo kisha kuwanyakua hadi kwenye ufalme wa mbinguni, lakini wanapuuza unabii mbalimbali wa Bwana kuhusu kuja kwa siri: "Tazama, mimi nakuja kama mwizi" (Ufunuo 16:15). "
Jumanne, 2 Oktoba 2018
Filamu za Kikristo | "Vita" | God Saved Me From the Hands of False Shepherds (Swahili Subtitles)
Oktoba 02, 2018Bwana-Yesu, Filamu-za-Kikristo, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mwenyezi-Mungu, VideoNo comments
Filamu za Kikristo | "Vita" | God Saved Me From the Hands of False Shepherds (Swahili Subtitles)
Zhang Hui alikuwa mzee katika kanisa la nyumbani la Kichina. Kila wakati alikuwa mtafutaji mwenye bidii, na alikuwa anangojea kuja kwa Bwana. Katika miaka ya hivi majuzi, alishuhudia kanisa likikumbwa na huzuni pole pole. Roho yake mwenyewe ilififia pia na hakuwa na chochote cha kuhubiri.
Ijumaa, 4 Mei 2018
Gospel Movie clip "Kusubiri" (2) - Bikira wenye Busara wanaweza kutofautisha Kristo wa kweli kati ya Kristo wa Uongo
Mei 04, 2018Bwana-Yesu, Dondoo-za-Video, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Kristo, kuja-kwa-mara-ya-pili, VideoNo comments
Gospel Movie clip "Kusubiri" (2) - Bikira wenye Busara wanaweza kutofautisha Kristo wa kweli kati ya Kristo wa Uongo
Ukikabiliwa na kurudi kwa pili kwa Bwana, je, utakuwa na hofu ya Makristo wa uongo kiasi kwamba utafunga mlango ili kujilinda na kusubiri ufunuo wa Bwana, au utatenda kama bikira mwerevu, na uitikie sauti ya Mungu na usalimu kurudi kwa Bwana? Video hii fupi itakuambia jinsi ya kukaribisha kuja kwa pili kwa Bwana.
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Alhamisi, 3 Mei 2018
Gospel Movie clip "Kusubiri" (1) - Je, Tunapaswa Kukesha na Kungoja Vipi Kuja Mara ya Pili kwa Bwana?
Mei 03, 2018Bwana-Yesu, Dondoo-za-Video, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, kuja-kwa-mara-ya-pili, VideoNo comments
Gospel Movie clip "Kusubiri" (1) - Je, Tunapaswa Kukesha na Kungoja Vipi Kuja Mara ya Pili kwa Bwana?
Bwana atakapokuja tena, Atashuka na mawingu, au Atakuja kwa siri kama mwizi? Je, Utakukabili vipi kuja kwa mara ya pili kwa Bwana? Je, utakuwa na hofu kubwa ya kupotoshwa na Kristo wa uongo hivi kwamba utakataa kumtafuta, au utaiga sehemu ya bikira mwenye busara na kusikiliza kwa makini sauti ya Mungu? Tunapaswaje "kukesha na kungoja" ili tuweze kumkaribisha Bwana atakapokuja? Tazama video hii fupi!
Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.
Jumatano, 2 Mei 2018
Latest Swahili Gospel Movie "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi Yake
Latest Swahili Gospel Movie "Kusubiri" | Bwana Yesu Kristo Ameonekana Kufanya Kazi Yake
Yang Hou'en ni mchungaji katika kanisa la nyumbani Uchina. Pamoja na babake Yang Shoudao, wamemngoja Bwana Yesu ashuke kutoka mawinguni na kuwachukua juu hadi katika ufalme wa mbinguni. Kwa ajili ya hili, walimfanyia Bwana kazi kwa bidii, walishikilia imara jina Lake, na kuamini kuwa yeyote ambaye sio Bwana Yesu ashukaye mawinguni ni Kristo wa uongo. Na hivyo, waliposikia habari kuhusu kuja mara ya pili kwa Bwana, hawakuisikiliza wala kuikubali.
Jumatatu, 30 Aprili 2018
New Swahili Gospel Movie "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi?
New Swahili Gospel Movie "Siri ya Utauwa" | Bwana Yesu Kristo Atarudi Vipi?
Utambulisho
Lin Bo'en alikuwa mzee wa kanisa katika kanisa la nyumbani Uchina. Wakati wa miaka yake yote kama muumini, alihisi kwamba ameheshimiwa kuteseka kwa ajili ya Bwana, na alithamini kumfahamu na kumpata Bwana Yesu Kristo zaidi ya kitu kingine chochote duniani.

Alhamisi, 26 Aprili 2018
Ni kwa Nini Ulimwengu wa Kidini Wenye Wayowayo kwa Hasira Unaipinga na Kuishutumu Kazi Mpya ya Mungu Daima?
Aprili 26, 2018Biblia, Bwana-Yesu, Hukumu, Kuondoa-Ukungu-ili-kuona-Mwanga-wa-Kweli, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments
Ni kwa Nini Ulimwengu wa Kidini Wenye Wayowayo kwa Hasira Unaipinga na Kuishutumu Kazi Mpya ya Mungu Daima?
Mara mbili ambapo Mungu amepata mwili kutembea duniani na kufanya kazi ya kumwokoa mwanadamu Amekumbana na upinzani mkubwa, shutuma na mateso ya hasira kutoka kwa viongozi katika dunia ya kidini, ukweli ambao umewakanganya na hata kuwashtua watu: Ni kwa nini kila wakati Mungu anapoonyesha hatua ya kazi mpya Yeye daima hukumbana na aina hii ya utendewaji?
Jumatano, 25 Aprili 2018
"Mji Utaangushwa" (4) - Je, Kufafanua Biblia ni Sawa na Kutukuza na Kutoa Ushuhuda kwa Mungu?
Watu wengi katika ulimwengu nzima wa dini huamini kwamba wale ambao wanaweza zaidi kueleza Biblia ni watu wanaomjua Mungu, na kwamba kama wao pia wanaweza kufafanua siri za Biblia na kueleza unabii, basi wao ni watu ambao hufuata mapenzi ya Mungu, na wanatukuza na kutoa ushuhuda kwa Mungu.
Jumamosi, 21 Aprili 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | "Mji Utaangushwa" (2) - Mbona Dhiki Imewafika Mafarisayo Wanafiki?
Aprili 21, 2018amri-za-Mungu, Bwana-Yesu, Sehemu-za-Filamu, unafiki-cha-Mafarisayo, VideoNo comments
Kanisa la Mwenyezi Mungu | "Mji Utaangushwa" (2) - Mbona Dhiki Imewafika Mafarisayo Wanafiki?
Imeandikwa katika Biblia kwamba Bwana Yesu aliwalaani Mafarisayo kwa dhiki saba. Siku hizi, njia inayotembelewa na wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini ni ile ya Mafarisayo na hali kadhalika wanapitia chuki ya Mungu na kukataliwa. Hivyo kwa nini Bwana Yesu aliwahukumu na kuwalaani Mafarisayo? Kimsingi ilikuwa kwa sababu walikuwa na kiini chenye unafiki ambacho kilimwasi Mungu, kwa sababu walitilia maanani kufanya matambiko ya dini na kufuata sheria tu, walieleza kanuni na mafundisho katika Biblia tu na hawakuweka maneno ya Mungu kwenye vitendo wala kufuata amri za Mungu kwa vyovyote, na hata waliacha amri za Mungu.
Ijumaa, 20 Aprili 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe”
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe”
Kanisa la Mwenyezi Mungu | "Mji Utaangushwa" (1) - Ulimwengu wa Dini Umepotoka na kuwa Mji wa Babeli
Aprili 20, 2018Bwana-Yesu, kuwa-Mji-wa-Babeli, Sehemu-za-Filamu, Ulimwengu-wa-dini, VideoNo comments
Kanisa la Mwenyezi Mungu | "Mji Utaangushwa" (1) - Ulimwengu wa Dini Umepotoka na kuwa Mji wa Babel
Viongozi wa ulimwengu wa dini wanapotea toka kwenye njia ya Bwana na kufuata mitindo ya kidunia, pia wao hushirikiana na uasi mkali wa mamlaka ya utawala na shutuma ya Umeme wa Mashariki, na tayari wameanza kutembea kwenye njia ya upinzani kwa Mungu. Ulimwengu wa dini umepotoka na kuwa mji wa Babeli. Biblia inasema, "Na Yesu akaingia katika hekalu la Mungu, na akawafukuza wote waliokuwa wakiuza na kununua katika hekalu, na akazipindua meza za wabadilishaji wa fedha, na viti vya wale waliokuwa wakiuza njiwa, Na akawaambia, imeandikwa, nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala; lakini mmeifanya pango la wezi" (Mathayo 21:12-13). "Babeli kuu imeanguka, imeanguka, na imekuwa makazi ya pepo, ngome ya kila pepo mwovu, na tundu la kila ndege mchafu na wa kuchukiza. Kwani mataifa yote yamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake, na wafalme wa ulimwengu wamefanya naye uasherati, na wafanya biashara wa ulimwengu wametajirika kupitia kwa utele wa uzuri wake" (Ufunuo 18:2-3).
Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu—Bwana Yesu aliyerudi—Kristo wa siku za mwisho, na pia chini ya hukumu Yake ya haki na kuadibu. Kanisa limejumuisha wale wote ambao wanaikubali kwa kweli kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho na wameshindwa na kuokolewa na neno la Mungu. Liliasisiwa kabisa na Mwenyezi Mungu mwenyewe, na linaongozwa na kuchungwa binafsi na Yeye, na kamwe halikuanzishwa na mtu yeyote. Huu ni ukweli unaokubaliwa na watu wote waliochaguliwa katika Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Jumatano, 18 Aprili 2018
2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu
Aprili 18, 2018Bwana-Yesu, Msururu-wa-MV-za-Ufalme, Nyimbo-za-Sifa, ujio-wa-pili-wa-Yesu, VideoNo comments
2018 Best African Worship Song "Miaka Elfu Mbili ya Kungoja" | Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu
Kwamba Mungu amekuwa mwili
hutikisa ulimwengu wa kidini,
inavuruga utaratibu wa kidini,
na inakoroga roho za wale
wanaongoja kuonekana kwa Mungu.