Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Muumba. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Muumba. Onyesha machapisho yote
Alhamisi, 2 Mei 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemi ya Tatu
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee III Mamlaka ya Mungu (II)” Sehemi ya Tatu
Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”.
Maudhui ya video hii:
Uhuru: Awamu ya Tatu
1. Baada ya Kuwa Huru, Mtu Huanza Kupitia Ukuu wa Muumba
2. Kuwaacha Wazazi wa Mtu na Kuanza kwa Bidii Kuendeleza Wajibu Wako Kwenye...
Jumapili, 31 Machi 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)” Sehemu ya Tano
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)” Sehemu ya Tano
Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”.
Maudhui ya video hii:
Shetani Hajawahi Kuthubutu Kukiuka Mamlaka ya Muumba, na Kwa Sababu Hiyo, Vitu Vyote Vinaishi kwa Mpangilio
Mungu Pekee, Ambaye Anao Utambulisho wa Muumba,...
Jumapili, 17 Machi 2019
Ee Mwenyezi Mungu, Mpendwa Wangu Mzuri

Ⅰ
Mwenyezi Mungu, mpendwa wangu mzuri, Una moyo wangu.
Unapitia magumu, Unavumilia aibu, yote kwa ajili ya kutuokoa.
Unatoa maisha Yako kwangu, naona jinsi Ulivyo mzuri.
Unakuja duniani kutoka mbinguni, ukiwa mwenye mwili.
Uko hapa Ukiishi na sisi, lakini hakuna anayejua...
Jumatatu, 4 Machi 2019
Kile Ambacho Wanaopenda Ukweli Wanapaswa Kufuatilia
I
Hmm … Hmm …
Jinsi unavyofikiri kuhusu utawala wa Mungu na ukweli,
inaonyesha kama una moyo, roho, iwapo wewe ni mtu anayependa ukweli.
Inaamua ikiwa unaweza kuelewa mamlaka ya Mung...
Alhamisi, 14 Februari 2019
Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu I" Sehemu ya Tatu
Februari 14, 2019Dondoo-za-Filamu, maneno-ya-Mungu, Muumba, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VideoNo comments

Matamshi ya Mungu | “Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu I" Sehemu ya Tatu
Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”.
Baada ya Kuumba Viumbe Vyote, Mamlaka ya Muumba Yanathibitishwa na Kuonyeshwa kwa Mara Nyingine Tena Kwenye Agano la Upinde wa Mv...
Jumatano, 16 Januari 2019
Nyimbo za dini | Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee
Januari 16, 2019Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Muumba, Nyimbo, Umeme-wa-Mashariki, VitabuNo comments

Nyimbo za dini | Tabia ya Haki ya Mungu ni ya Pekee
I
Mungu huonyesha tabia Yake ya haki kupitia mbinu na kanuni za pekee,
haidhibitiwi na watu, matukio au vitu.
Na hakuna awezaye kubadili fikira au mawazo Yake,
au kumhimiza Atumie namna nyingin...
Jumatatu, 14 Januari 2019
Mungu Humtendea Mwanadamu kama Mpendwa Wake Mkuu
Januari 14, 2019Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Muumba, Tabia ya Mungu, VitabuNo comments

I
Mungu aliwaumba binadamu;
ikiwa mwanadamu amepotoshwa
au kama anamfuata,
Mungu huwachukulia binadamu kama wapendwa,
au kama mwanadamu anavyoweza kusema, jamaa Yake mpendw...
Jumamosi, 1 Desemba 2018
Maneno ya Roho Mtakatifu | "Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu katika Mwili na Wajibu wa Mwanadamu"
Maneno ya Roho Mtakatifu | "Tofauti Kati ya Huduma ya Mungu katika Mwili na Wajibu wa Mwanadamu"
Mwenyezi Mungu anasema, "Hata kama Mungu mwenye mwili hunena, kufanya kazi, au kutenda miujiza, Anafanya kazi kubwa katika usimamizi Wake, kazi ambayo haiwezi kufanywa na mwanadamu kwa niaba Yake. Kazi ya mwanadamu ni kufanya tu wajibu...
Jumatatu, 17 Septemba 2018
Wimbo wa Injili "Ni Muumba Pekee Anayemhurumia Binadamu Huyu" | The Love of God Is the Truest Love
Septemba 17, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Mfululizo-wa-Maonyesho-Mbalimbali, Muumba, Nyimbo, Video, Wimbo-za-InjiliNo comments

🎼🎼 → → 🎙️🎙️ ↓↓🎻🎻🎻🎻~~~😘😘****💞💞💞
Wimbo wa Injili "Ni Muumba Pekee Anayemhurumia Binadamu Huyu" | The Love of God Is the Truest Love
Muumba yuko miongoni mwa binadamu siku zote,
kwamba siku zote Anazungumza na binadamu na uumbaji mzima,
na kwamba Anatekeleza matendo mapya, kila siku.
Hali Yake...