Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Upendo-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Upendo-wa-Mungu. Onyesha machapisho yote
Ijumaa, 28 Juni 2019
Wimbo wa Dini “Watu Waaminifu Tu Ndio Wana Mfano wa Binadamu” | Asante kwa Upendo na Wokovu wa Mungu"
Juni 28, 2019maneno-ya-Mungu, sauti-ya-Mungu, ukweli, Upendo-wa-Mungu, Video, Video-za-Nyimbo-za-DiniNo comments

Wimbo wa Dini “Watu Waaminifu Tu Ndio Wana Mfano wa Binadamu” | Asante kwa Upendo na Wokovu wa Mungu
Kwa ajili ya umaarufu na faida niliacha viwango vyote vya kutenda,
na bila haya nikatumia udanganyifu kutafuta riziki yangu.
Sikujali chochote kuhusu dhamiri au maadili, chochote kuhusu uadilifu au heshima.
Niliishi tu kuridhisha tamaa na uroho wangu...
Jumanne, 11 Juni 2019
Ndio Nimeanza Tu Kutembea Njia Sahihi ya Uzima
Juni 11, 2019Upendo-wa-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Vitabu, Wokovu-wa-MunguNo comments


Shi Han Mkoa wa Hebei
Nilizaliwa kwa familia maskini ya wakulima. Nimekuwa mwenye busara tangu utotoni, ikimaanisha sijawahi kupigana na watoto wengine na niliwatii wazazi wangu, jambo lililonifanya “msichana mzuri” wa kawaida machoni mwa watu wazima. Wazazi wengine wote...
Jumatano, 5 Juni 2019
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kupitia Upendo Maalum wa Mungu

Jiayi Mji wa Fuyang, Mkoa wa Anhui
Asili yangu ni ya kiburi hasa; bila kujali ninafanya nini, mimi daima hutumia werevu na ujuzi wa kubuni ili kuonyesha akili yangu na kwa hiyo mara kwa mara hukiuka mipango ya kazi ili nifanye mambo kwa njia yangu mwenyewe. Mimi ni mwenye...
Jumamosi, 4 Mei 2019
4. Ni jinsi gani hatua tatu za kazi ya Mungu kwa pole pole huongeza uketo ili watu waokolewe na kukamilishwa?
Mei 04, 2019Kazi-ya-Mungu, Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, maneno-ya-Mungu, Upendo-wa-Mungu, VitabuNo comments


II. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Wokovu wa Mungu kwa Wanadamu
4. Ni jinsi gani hatua tatu za kazi ya Mungu kwa pole pole huongeza uketo ili watu waokolewe na kukamilishwa?
Maneno Husika ya Mungu:
Usimamizi mzima wa...
Jumanne, 16 Aprili 2019
20. Katika Familia Ya Mungu, tunakutana na kila mmoja
Aprili 16, 2019Kazi-ya-Mungu, Mapenzi-ya-Mungu, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Upendo-wa-Mungu, VitabuNo comments


I
Tukipendana, sisi ni familia.
Aa … aa …
Katika familia ya Mungu, tunakutana kila mmoja,
mkusanyiko wa watu wakimpenda Mungu.
Bila upendeleo, kupendana kwa karibu,
furaha na utamu ukijaza mioyo yet...
Jumamosi, 6 Aprili 2019
Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma
Aprili 06, 2019furaha, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Ufalme, Upendo-wa-Mungu, VideoNo comments

Wimbo wa Injili "Mwana wa Adamu Ameonekana" | Sifu Kurudi kwa Yesu Mwokozi | Watoto Wanacheza Ngoma
Kutoka Mashariki ya ulimwengu (Mashariki ... Mashariki ...),
mwale wa mwanga unatokea (mwanga ... mwanga ...),
ukiangaza njia yote kwenda magharibi.
Mwana wa Adamu ameshuka duniani.
Mwokozi amerejea, Yeye ni Mwenyezi Mungu.
Akionyesha ukweli,...
Ijumaa, 5 Aprili 2019
Wimbo wa Kuabudu | Upendo wa Mungu Unaenea Duniani Kote
Aprili 05, 2019furaha, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Upendo-wa-Mungu, Vitabu, watu-wa-MunguNo comments

Wimbo wa Kuabudu | Upendo wa Mungu Unaenea Duniani Kote
Ⅰ
Mwenyezi Mungu, Wewe ni mwenye haki, Wewe ni mtakatifu.
Upendo Wako safi ni kama chembe ya theluji ikicheza hewani,
nyeupe, nzuri, inayonukia, ikiniangukia, ikiyeyuka katika upendo wangu mara moja.
Kupitia uboreshaji Wako upendo wangu Kwako umekuwa halisi kabis...
Ijumaa, 22 Februari 2019
Baada ya Usaliti wa Mumewe Mungu Alimuokoa Kutoka kwenye Fadhaa ya Uchungu

Na Ouyang Mo, Mkoa wa Hubei
Baada ya miongo miwili ya mema na mabaya ambayo yeye na mumewe walipitia pamoja, hakuwahi kamwe kufikiria kwamba mumewe angekuwa na uhusiano wa nje ya ndoa. Alishindwa kabisa kuvumilia wakati alipogundua hil...
Jumatano, 13 Februari 2019
Jua ya Kwamba Kuadibu na Hukumu ya Mungu ni Upendo
Februari 13, 2019Kazi-ya-Mungu, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Upendo-wa-Mungu, VitabuNo comments

I
Hukumu na kuadibu ni usafishaji na mafichuo yasiyo na huruma,
yanayonuiwa kuadhibu dhambi za mwanadamu, na kuadhibu mwili wake,
lakini hakuna kati ya kazi hii inapaswa kushutumu ama kuagamiza mwili wa mwanadam...
Alhamisi, 27 Desemba 2018
Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee VIII
Desemba 27, 2018baraka, Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Upendo-wa-Mungu, VitabuNo comments


Mungu ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote (II)
Tuendelee na mada ya mawasiliano ya wakati uliopita. Je, mnaweza kukumbuka ni mada gani tuliwasiliana wakati uliopita? (Mungu Ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote.) Je, "Mungu Ni Chanzo cha Uhai kwa Vitu Vyote" ni mada mnayohisi...
Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II
Desemba 27, 2018imani-katika-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Umeme-wa-Mashariki, Upendo-wa-Mungu, VitabuNo comments


Kwenye mkutano wetu wa mwisho tuliweza kuzungumzia mada muhimu sana. Je, mnakumbuka mada hiyo ilikuwa kuhusu nini? Hebu Niirudie. Mada ya ushirika wetu wa mwisho ilikuwa: Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyew...
Ijumaa, 19 Oktoba 2018
Nyimbo za Neno la Mungu | Ni kwa Kuishi kwa Kudhihirisha Uhalisi tu Ndiyo Unaweza Kutoa Ushahidi
Oktoba 19, 2018maneno-ya-Mungu, Mfuateni-Mwanakondoo-na-Kuimba-Nyimbo-Mpya, Nyimbo, Upendo-wa-Mungu, UshuhudaNo comments


Nyimbo za Neno la Mungu | Ni kwa Kuishi kwa Kudhihirisha Uhalisi tu Ndiyo Unaweza Kutoa Ushahidi
I
Watu wenye ukweli ni wale ambao,
kwa uzoefu, wanasimama imara katika ushuhuda,
imara katika nafasi yao, upande wa Mungu,
bila kurudi nyuma, wakimtii Mungu hadi kifo,
wakiwa...
Jumamosi, 13 Oktoba 2018
Swahili Christian Music Video | "Ni Watu Waaminifu Pekee Walio na Mfano wa Binadamu" | God Led Me Onto the Right Path of Life
Oktoba 13, 2018Msururu-wa-MV-za-Ufalme, Mwenyezi-Mungu, Upendo-wa-Mungu, Video, Wokovu-wa-MunguNo comments

🎼🎼 → → 🎙️🎙️ ↓↓🎻🎻🎻🎻@@@@
swahili gospel music | "Ni Watu Waaminifu Pekee Walio na Mfano wa Binadamu" | God Led Me Onto the Right Path of Life
I
Kwa ajili ya faida niliacha viwango vyote vya mwenendo,
na bila haya nikatumia udanganyifu kutafuta riziki yangu.
Sikujali chochote kuhusu dhamiri au maadili,...
Jumamosi, 29 Septemba 2018
Wimbo wa Sifa "Upendo wa Kweli wa Mungu" | Haleluya! Msifuni Mungu! (Korean Song Swahili Subtitles)
🎼🎼 → → 🎙️🎙️ ↓↓🎻🎻🎻🎻~~~💞💞💞
Leo naja mbele ya Mungu tena,
naona uso Wake wa kupendeza.
Leo naja mbele ya Mungu tena,
nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Leo naja mbele ya Mungu tena,
kufurahia neno Lake kunanijaza na furah...
Jumanne, 25 Septemba 2018
Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki
Septemba 25, 2018Mwenyezi-Mungu, Upendo-wa-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Vitabu, Wokovu-wa-MunguNo comments


Kuuonja Upendo wa Mungu Katikati ya Dhiki
Chen Lu Wilaya ya Tonglu, Mkoa wa Zhejiang
Baada ya mlo mkuu wa siku, polisi waliongeza mkazo wa masaili yao. Walinitisha vikali, wakisema: "Tuambie! Ni nani kiongozi wa kanisa lako? Kama hutuambii, tuna njia zingine, tunaweza...
Jumanne, 18 Septemba 2018
Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Kama Nisingeokolewa na Mungu
Septemba 18, 2018Mwenyezi-Mungu, Nyimbo, Upendo-wa-Mungu, Wimbo-wa-Uzoefu-wa-Maisha, WokovuNo comments


Kama Nisingeokolewa na Mungu
I
Kama nisingeokolewa na Mungu,
ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu,
nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi;
kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio.
Kama nisingeokolewa na Mungu,
bado ningekuwa nimepondwa chini ya...
Jumatatu, 17 Septemba 2018
Swahili Praise Song "Upendo wa Mungu Unauzingira Moyo Wangu" Thank and Praise the Lord for His Grace
Septemba 17, 2018Hukumu, Mfululizo-wa-Maonyesho-Mbalimbali, Mwenyezi-Mungu, Upendo-wa-Mungu, VideoNo comments

Utambulisho
🎼🎼→ → 🎙️🎙️↓↓🎻🎻🎻🎻~~~😘😘→ →💓💓****🌻🌻🌻↓↓💞💞💞→ →🌻🌻🌻
Jua la haki linainuka Mashariki.
Ee Mungu! Utukufu Wako unajaza mbingu na dunia.
Mpendwa wangu, upendo Wako unauzunguka moyo wangu.
Wale wanaotafuta ukweli—wanampenda Mungu, kila mmoja.
Asubuhi na mapema, ingawa naamka peke yangu,
furaha iko...
Alhamisi, 6 Septemba 2018
Asili ya Upendo wa Mungu Ni Nini?
Septemba 06, 2018Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Roho-Mtakatifu, Upendo-wa-Mungu, Ushuhuda-wa-Kuipitia-Hukumu-ya-Kristo, Vitabu, WokovuNo comments


📖📖~~~*******~~~🌻🌻🌻~~~******~~~😘😘
🌻🌻🌻🌻🌻🌻🌻
Asili ya Upendo wa Mungu Ni Nini?
Siqiu Mji wa Suihua, Mkoa wa Heilongjiang
Wakati wowote ninapoona kifungu kinachofuata cha neno la Mungu, “Ikiwa daima umekuwa mwaminifu Kwangu na kunipenda, lakini...