Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mpendwa-wangu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mpendwa-wangu. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 12 Septemba 2018

nyimbo za love | Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri

💓💓  → → 🎼🎼     → → 🎙️🎙️  ↓↓    😊😊 I Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu. Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri. Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe? Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia? Wewe ndiye Unayenipa upendo. Wewe...