Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kazi-ya-Roho-Mtakatifu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo kazi-ya-Roho-Mtakatifu. Onyesha machapisho yote
Jumapili, 23 Juni 2019
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 114
Maneno ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 114
Niliumba ulimwengu dunia; Nilitengeneza milima, mito, na vitu vyote; Niliunda miisho ya mifumo ya sayari; Niliwaongoza wana Wangu na watu Wangu; Niliamuru vitu na mambo yote. Sasa, Nitawaongoza wazaliwa Wangu wa kwanza warudi kwenye Mlima Wangu Sayuni, kurudi mahali ambapo Naishi, ambayo itakuwa hatua ya...
Jumatano, 22 Mei 2019
26. Mtu anawezaje kupata kazi ya Roho Mtakatifu?
Mei 22, 2019kazi-ya-Roho-Mtakatifu, Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, neno-la-Mungu, Roho-Mtakatifu, VitabuNo comments

26. Mtu anawezaje kupata kazi ya Roho Mtakatifu?
Maneno Husika ya Mungu:
Kazi ya Roho Mtakatifu inabadilika kutoka siku hadi siku, ikipanda juu kwa kila hatua; ufunuo wa kesho unakuwa hata juu kuliko wa leo, hatua kwa hatua ukikwea hata juu zaidi. Hii ndiyo kazi anayotumia Mungu kumkamilisha mwanadamu. Iwapo mwanadamu hawezi kwenda sambamba, basi...
Jumamosi, 18 Mei 2019
4. Sura ya tatizo la mtu asiyejua umuhimu wa jina la Mungu na asiyelikubali jina jipya la Mungu ni ipi?
Mei 18, 2019Jina-la-Mungu, Kazi-ya-Mungu, kazi-ya-Roho-Mtakatifu, Kumbukumbu-za-Maongezi-ya-Kristo, VitabuNo comments


4. Sura ya tatizo la mtu asiyejua umuhimu wa jina la Mungu na asiyelikubali jina jipya la Mungu ni ipi?
Maneno Husika ya Mungu:
Katika kila kipindi cha wakati, Mungu ataanza kazi mpya, na katika kila kipindi, patakuwepo na mwanzo mpya kwa mwanadamu. Laiti mwanadamu ashikilie...
Jumatano, 10 Aprili 2019
Kristo wa Siku za Mwisho | Sisitiza Uhalisi Zaidi
Aprili 10, 2019Kazi-ya-Mungu, kazi-ya-Roho-Mtakatifu, maneno-ya-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments

Kila mtu ana uwezekano wa kukamilishwa na Mungu, kwa hiyo kila mtu anapaswa kuelewa ni huduma gani kwa Mungu inayofaa zaidi makusudi ya Mungu. Watu wengi hawajui kumwamini Mungu humaanisha nini na hawajui kwa nini wanapaswa kumwamini Mungu. Yaani, watu wengi zaidi hawana ufahamu wa kazi ya Mungu au lengo la mpango wa usimamizi wa Mungu. Hadi leo,...
Jumapili, 7 Aprili 2019
Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 65
Aprili 07, 2019Hukumu, kazi-ya-Roho-Mtakatifu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, Ufalme, VitabuNo comments


Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Sura ya 65
Maneno Yangu daima yanaendeleza barabara, yaani yanaonyesha udhaifu wenu wa jaala, vinginevyo bado mgekuwa mnakokota visigino vyenyu, bila wazo la muda gani ulioko sasa. Fahamu hili! Mimi Hutumia njia ya upendo ili kuwaokoa. Bila...
Ijumaa, 19 Januari 2018
Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu
Januari 19, 2018Kazi-ya-Mungu, kazi-ya-Roho-Mtakatifu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, VitabuNo comments


Kazi ya Mungu na Utendaji wa Mwanadamu
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya Mungu miongoni mwa mwanadamu haitengani na mwanadamu, kwa kuwa mwanadamu ni chombo cha kazi hii na kiumbe wa pekee aliyeumbwa na Mungu anayeweza kutoa ushuhuda kwa Mungu. Maisha ya mwanadamu...
Jinsi ya Kuujua Uhalisi | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Jinsi ya Kuujua Uhalisi
Mwenyezi Mungu alisema, Mungu ni Mungu wa uhalisi: kazi Zake zote ni halisi, maneno yote Anayoyanena ni halisi, na ukweli wote Anaouonyesha ni halisi....