Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kazi-ya-Kusimamia. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kazi-ya-Kusimamia. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 8 Septemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu | Kazi ya Kusimamia Mwanadamu ni Gani?

Sura ya 3 Ukweli Kuhusu Awamu Tatu za Kazi ya Mungu 1. Kazi ya Kusimamia Mwanadamu ni Gani? Maneno Husika ya Mungu: Kazi ya kumsimamia mwanadamu imegawanywa katika hatua tatu, na ina maana kuwa kazi ya kumwokoa mwanadamu imegawanywa katika hatua tatu. Hatua hizi tatu hazihusishi kazi ya kuuumba ulimwengu, ila ni hatua tatu za kazi ya Enzi...