Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Matamanio-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Matamanio-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 18 Oktoba 2018

Hakuna Anayeelewa Matamanio ya Mungu Yenye Bidii ya Kumwokoa Mwanadamu

Hakuna Anayeelewa Matamanio ya Mungu Yenye Bidii ya Kumwokoa Mwanadamu 🎼🎼→ → 🎙️🎙️↓↓🎻🎻🎻🎻→ →🎼🎼🎼🎼→ →🎤🎤🎤🎤🎤 I Mungu aliumba ulimwengu huu na akamleta mwanadamu ndani yake, kiumbe hai ambaye Mungu alimpa uhai. Kisha mwanadamu akawa na wazazi na jamaa,...