Jaweni na Upendo kwa Ajili ya Mungu | Muziki wa Akapela "Yasifu Maisha Mapya"

Haleluya! Twakushukuru na kukusifu Wewe, Mwenyezi Mungu! Kristo wa siku za mwisho ameonekana, akifanya kazi na kuzungumza miongini mwa wanadamu. Neno lake hutuhukumu, kutuadibu na kututakasa, likituongoza kwenye njia sahihi ya maisha ya binadamu.

Ukaribisheni Urejeaji wa Bwana Yesu | Sifa na Ibada “Mungu Ameleta Utukufu Wake Mashariki”

Mungu aliipa Israeli utukufu Wake kisha Akauhamisha mbali na pale, na kuwaleta Waisraeli na kuwaleta watu wote Mashariki. Mungu amewaelekeza wote kwenye mwanga ili waweze kuungana tena na kuwa pamoja na mwanga, wasilazimike kuutafuta tena, kuutafuta mwanga.

Je, Biblia ndiye Bwana, au ni Mungu? | “Bwana Wangu Ni Nani” ( Filamu za Injili )

Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.”

Karibu Kurudi kwa Bwana Yesu | Drama ya Muziki “ Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19” | Haleluya

Mungu ametutunza daima–Yeye amesikiliza maombi yetu! Anajua tumekuwa tukitamani kurejea Kwake! Sasa kwa hakika Amerejea! Tunasubiri nini bado? Tafadhali endelea kutazama drama yenye muziki ya Kanisa la Mwenyezi Mungu—Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo!

NYENDO ZA MATESO YA KIDINI NCHINI CHINA (Christian Videos) swahili

Wakristo wanaoteswa katika filamu hii ni watu kutoka kwa vikundi vya kidini na madhehebu tofauti ambao walitafuta ukweli, na ambao waliisikia sauti ya Mungu na hivyo wakarudi kwa Mwenyezi Mungu.

Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Vitendo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Vitendo. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 5 Januari 2019

Unapaswa Kuyachukuliaje Maneno na Vitendo Vyako Mwenyewe

I
Unaamini maneno ya Mungu na rada?
Kwamba Atawaadhibu wanaodanganya, kumsaliti?
Unapenda zaidi siku hiyo ije mapema au baadaye?
Unaogopa adhabu,
au utampinga Mungu, hata ukijua kuna adhabu?

Jumatano, 19 Desemba 2018

Ufafanuzi wa Tamko la Thelathini na Sita

Inasemekana kwamba Mungu ameanza sasa kuwaadibu watu, lakini hakuna yeyote anayeweza kusema kwa hakika, hakuna yeyote anayeweza kutoa jibu dhahiri iwapo kusudi la asili la kuadibu huku limewafika wanadamu. Kwani Mungu asema, "Mwanadamu hajawahi kugundua chochote katika kuadibu Kwangu, kwani hafanyi chochote ila kushika nira inayozunguka shingo kwa mikono miwili, macho yake mawili yakiwa yamekodolewa Kwangu, kana kwamba anamwangalia adui kwa makini—na wakati huu tu ndio Nahisi vile amedhoofishwa.

Jumanne, 6 Novemba 2018

Tamko la Arubaini na Tatu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,
Je, Sijawakumbusha? Msiwe wenye hofu; ninyi hamjanisikiliza tu, watu wasio na fikira ninyi! Je, mtaweza kuuelewa moyo Wangu lini? Kila siku kuna nuru mpya, kila siku kuna mwanga mpya. Ni mara ngapi mmeuelewa kwa ajili yenu wenyewe? Je, Sijawaambia Mwenyewe? Bado ninyi ni wa kukaa tu kama wadudu ambao watasonga tu wanaposukumwa, lakini hamwezi kuchukua hatua ya kushirikiana na Mimi, kuufikiria mzigo Wangu. Ningependa kuona tabasamu zenu changamfu na za kupendeza, kuona mwenendo wa Wanangu ulio wa vitendo na mchangamfu, lakini Siwezi. Badala yake, ninyi mmepungukiwa na akili, ni wajinga, na wapumbavu. Mnapaswa kuanza kutafuta. Fuatilia kwa ujasiri! Fungueni tu nyoyo zenu na mniruhusu Niishi ndani yenu. Tahadharini na muwe macho! Watu wengine katika kanisa ni wadanganyifu na mnapaswa kutilia mkazo sana maneno haya kila mara, maisha yenu yasije yakaathiriwa au kupata hasara fulani. Ondoa wasiwasi, mradi una ujasiri wa kusimama na kuzungumza kwa ajili Yangu, Nitachukua mzigo wa yote na kukupa uwezo! Mradi unauridhisha moyo Wangu, Nitakuonyesha tabasamu Yangu na mapenzi Yangu kila mara.

Jumapili, 10 Juni 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utendaji (8)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mwenyezi Mungu,

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Utendaji (8)

Mwenyezi Mungu alisema, Kuna mengi kupita kiasi juu ya watu ambayo yamekengeuka na yasiyo sahihi, hawawezi kamwe kujishughulikia wenyewe, na hivyo bado ni muhimu kuwaongoza katika kuingia kwenye njia sahihi; kwa maneno mengine, wana uwezo wa kudhibiti maisha yao ya kibinadamu na maisha ya kiroho, kuweka mambo yote mawili katika vitendo, na hakuna haja ya wao mara nyingi kusaidiwa na kuongozwa. Wakati huo tu ndipo watakuwa na kimo cha kweli. Hii itamaanisha kuwa, katika siku za baadaye, wakati ambapo hakuna mtu wa kukuongoza, utakuwa na uwezo wa kuwa na uzoefu mwenyewe. Leo, ikiwa umepata kuvumulia kilicho muhimu na kisicho, baadaye, utakuwa na uwezo wa kuingia katika hali halisi. Leo, mnaongozwa kwenye njia sahihi, kukuruhusu kuelewa ukweli mwingi, na baadaye mtakuwa na uwezo wa kwenda kwa kina zaidi.