Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Yehova. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Yehova. Onyesha machapisho yote
Alhamisi, 16 Mei 2019
2. Kuna uhusiano gani kati ya kila hatua ya kazi ya Mungu na majina Yake?
IV. Ni Lazima Mtu Ashuhudie Kipengele cha Ukweli Kuhusu Hatua Tatu za Kazi ya Mungu na Majina Yake
2. Kuna uhusiano gani kati ya kila hatua ya kazi ya Mungu na majina Yake?
(1) Umuhimu wa Mungu kuchukua jina la Yehova katika Enzi ya Sheria
Aya za Biblia za Kurejelea:
“Na Mungu akasema zaidi kwa Musa, Utawaambia hivi wana wa Israeli,...
Jumatano, 15 Agosti 2018
Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote
Agosti 15, 2018Kazi-ya-Mungu, Matamshi-ya-Kristo-wa-Siku-za-Mwisho-Chaguzi, Mwenyezi-Mungu, Vitabu, Yehova, YesuNo comments


Mungu Ndiye Bwana wa Viumbe Vyote
Mwenyezi Mungu alisema, Hatua moja ya kazi ya enzi mbili za awali ilifanyika Israeli; nyingine ilifanyika Uyahudi. Kuzungumza kwa jumla, hakuna hatua ya kazi hii iliyotoka Israeli; zilikuwa ni hatua za kazi zilizofanywa miongoni mwa...
Alhamisi, 26 Julai 2018
Mwenyezi Mungu Ndiye Bwana Yesu Aliyerudi

Sura ya 1 Mwenyezi Mungu Ndiye Mungu Mmoja wa Kweli Ambaye Aliumba Kila kitu
2. Mwenyezi Mungu Ndiye Bwana Yesu Aliyerudi
Maneno Husika ya Mungu:
Baada ya kazi ya Yehova, Yesu Alipata mwili ili Afanye kazi Yake miongoni mwa wanadamu. Kazi Yake haikutekelezwa kivyake,...
Ijumaa, 20 Aprili 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe”
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mwokozi Amerudi Tayari Juu ya “Wingu Jeupe”
Kwa maelfu kadhaa ya miaka, mwanadamu ametamani kuweza kushuhudia kufika kwa Mwokozi. Mwanadamu ametamani kumtazama Yesu Mwokozi katika wingu jeupe Anaposhuka, yeye binafsi, kati ya wale ambao wamengoja na kumtamani kwa maelfu ya miaka. Mwanadamu ametamani Mwokozi arejee...
Jumamosi, 25 Novemba 2017
Wafaa Kujua Namna Ambavyo Ubinadamu Wote Umeendelea Hadi Siku ya Leo | Kanisa la Mwenyezi Mungu

Wafaa Kujua Namna Ambavyo Ubinadamu Wote Umeendelea Hadi Siku ya Leo
Uzima wa kazi ya miaka 6,000 yote umebadilika kwa utaratibu kuambatana na nyakati. Mabadiliko katika kazi hii kumefanyika kulingana na hali zinazozunguka ulimwengu mzima. Kazi ya usimamizi ya Mungu imebadilika...
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi Katika Enzi ya Sheria

Kazi Katika Enzi ya Sheria
Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ambayo Yehova alifanya kwa Waisraeli ilianzisha mahali pa Mungu pa asili miongoni mwa binadamu, ambapo pia palikuwa pahali patakatifu ambapo Alikuwapo. Aliwekea kazi Yake mipaka kwa watu wa Israel...
Alhamisi, 23 Novemba 2017
Kuhusu Biblia (1)

Kuhusu Biblia (1)
Mwenyezi Mungu alisema, Biblia inapaswa kuangaliwaje kuhusiana na imani kwa Mungu? Hili ni swali muhimu sana. Kwa nini tunawasiliana swali hili? Kwa sababu wakati ujao utaeneza injili na kupanua kazi ya Enzi ya Ufalme, na haitoshi tu kuweza kuzungumza...
Jumatano, 15 Novemba 2017
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kutanafusi kwa Mwenye Uweza
Novemba 15, 2017Kanisa-la-Mwenyezi-Mungu, Neno-Laonekana-katika-Mwili, ukweli, Vitabu, YehovaNo comments


Kutanafusi kwa Mwenye Uweza
Kunayo siri kubwa moyoni mwako. Huifahamu kamwe kwa sababu umekuwa ukiishi katika ulimwengu usio na mwanga unaoangaza. Moyo wako na roho yako vimechukuliwa mateka na yule mwovu. Macho yako yamefunikwa na giza; huwezi kuliona jua angani, wala...