Alhamisi, 24 Januari 2019

Washindi Ni Wale Wanaotoa Ushahidi Mkubwa kwa Mungu

I
Imani kwa Mungu inahitaji utiifu,
uzoefu wa kazi ya Mungu.
Ametenda mengi sana;
kazi Yake yote ni kukamilisha, usafishaji, kuadibu,
sio kile ambacho mwanadamu anatarajia.
Na kile wanachofurahia ni maneno makali ya Mungu.
Mungu atakapokuja, mwanadamu lazima atafurahia ghadhabu na uadhama Wake.
Ingawa maneno Yake ni makali, Anawaokoa na kuwakamilisha wao.
Kuwa waliumbwa, lazima wanadamu watende jukumu lao
na wasimame kama shahidi kwa Mungu katika usafishaji.
Katika kila jaribu, lazima wanadamu wadumishe ushahidi wao,
watoe ushahidi mkubwa kwa Mungu.
Haijalishi umesafishwa jinsi gani, kaa na imani kwa Mungu,
usipoteze imani, fanya kile unachopaswa kufanya.
Hiki ni kile ambacho Mungu anahitaji kutoka kwa mwanadamu.
Rudisha moyo wako kabisa Kwake,
kila fursa uwe upande Wake.
Huyu ni mshindi.
II
Washindi ni wale ambao wanasimama kama mashahidi,
wakishika imani na ibada kamili kwa Mungu,
hata wanapokuwa chini ya ushawishi wa Shetani,
hata ingawa Shetani amewateka nyara, na nguvu za giza.
Kama bado unadumisha moyo safi
na upendo wa kweli kwa Mungu bila kujali kinachoweza kuwa,
basi umesimama kama shahidi mbele ya Mungu,
wewe ni kile Mungu Mwenyewe anaita mshindi.
Katika kila jaribu, lazima wanadamu wadumishe ushahidi wao,
watoe ushahidi mkubwa kwa Mungu.
Haijalishi umesafishwa jinsi gani, kaa na imani kwa Mungu,
usipoteze imani, fanya kile unachopaswa kufanya.
Hiki ni kile ambacho Mungu anahitaji kutoka kwa mwanadamu.
Rudisha moyo wako kabisa Kwake,
kila fursa uwe upande Wake.
Huyu ni mshindi.
III
Mtazamo wako ni muhimu ili Mungu akufanye kamili.
Usishuku kazi Yake, fanya jukumu lako,
dumisha kile Mungu anataka utende,
kumbuka kile ambacho Mungu anahimiza,
bila kujali kile Anachofanya,
usisahau kamwe na udumishe msimamo wako,
shikilia ushuhuda wako, tembea katika ushindi,
na Mungu atakukamilisha uwe mshindi.
Katika kila jaribu, lazima wanadamu wadumishe ushahidi wao,
watoe ushahidi mkubwa kwa Mungu.
Haijalishi umesafishwa jinsi gani, kaa na imani kwa Mungu,
usipoteze imani, fanya kile unachopaswa kufanya.
Hiki ni kile ambacho Mungu anahitaji kutoka kwa mwanadamu.
Rudisha moyo wako kabisa Kwake,
kila fursa uwe upande Wake.
Huyu ni mshindi.
kutoka katika "Unapaswa Kudumisha Ibada Yako kwa Mungu" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tufuate: Umeme wa Mashariki, Sikiliza nyimbo nyimbo za dini

0 意見:

Chapisha Maoni