Ijumaa, 1 Februari 2019

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Kanuni ya Kazi Ya Roho Mtakatifu

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Kanuni ya Kazi Ya Roho Mtakatifu

I
Roho Mtakatifu hafanyi kazi inayoegemea upande mmoja, na mwanadamu hawezi kufanya kazi peke yake.
Mwanadamu hufanya kazi pamoja na Roho wa Mungu. Hufanywa na wote pamoja.
Bidii ya mwanadamu na kazi ya Roho Mtakatifu inazaa maarifa ya neno la Mungu.
Hatua kwa hatua kutoka kwa kutembea njia hii kila siku, mtu mkamilifu anaweza kutengenezwa.
Kupewa nuru, kuangaziwa na Roho Mtakatifu kunagharimu kazi,
kupitia kushirikiana na kuomba kwa bidii, kutafuta na kuja karibu na Mungu.
II
Mungu hafanyi vitu ambavyo si vya kawaida,
lakini mwanadamu hufikiria Mungu anafanya kila kitu.
Yeye anangoja tu, hasomi neno la Mungu wala kuomba,
na anangoja kuguswa na Roho.
Lakini wale wanaoelewa wanafikiria tofauti: Mungu anatenda kulingana na vile ninavyotenda.
Matokeo ya kazi Yake yananitegemea. Lazima nifanye bidii kukutana na neno Lake.
Kupewa nuru, kuangaziwa na Roho Mtakatifu kunagharimu kazi,
kupitia kushirikiana na kuomba kwa bidii, kutafuta na kuja karibu na Mungu.
Kadiri watu wanavyojifunza zaidi kufanya wajibu wao,
wanavyofuata kufikia viwango vya mahitaji ya Mungu zaidi,
ndivyo kazi ya Roho Mtakatifu inavyokuwa kubwa zaidi.
Kupewa nuru, kuangaziwa na Roho Mtakatifu kunagharimu kazi,
kupitia kushirikiana na kuomba kwa bidii, kutafuta na kuja karibu na Mungu.
kutoka katika "Jinsi ya Kuujua Uhalisi" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Tazama Video: Kwaya za Injili

0 意見:

Chapisha Maoni