Jumatano, 23 Januari 2019

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Desturi wa Kuwa Mtulivu Mbele Ya Mungu

 Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Desturi wa Kuwa Mtulivu Mbele Ya Mungu

I
Unapokuwa unazungumza na wengine ama kutembea,
unasema, "Moyo wangu uko karibu na Mungu.
Silengi vitu vya nje."
Basi u mtulivu mbele ya Mungu.
Usikutane na vitu
ambavyo vinauvuta moyo wako nje.
Usikutane na watu
ambao wanauvuta moyo wako kutoka kwa Mungu.
Ukifuata kile ambacho sio Mungu,
kukamilishwa hakutakuwa na nafasi yoyote.
Wale ambao leo wanaweza kusikia maneno Yake
lakini hawawezi kuwa watulivu mbele Yake,
ni watu ambao hawapendi ukweli,
ni watu ambao hawampendi Mungu.
Usipojitoa mwenyewe sasa hivi,
basi ni lini utajitoa kabisa?
Acha chochote kinachokuzuia
kuwa karibu na Mungu,
ama ukae mbali nacho.
Hiyo ni bora kwa maisha yako.
Roho Mtakatifu anafanya kazi kubwa,
Mungu Mwenyewe anawakamilisha watu sasa.
Kama huwezi kuwa mtulivu mbele ya Mungu,
hujarudi katika kiti cha enzi cha Mungu,
hujarudi katika kiti cha enzi cha Mungu.
II
Kuutuliza moyo wa mtu mbele ya Mungu
ni toleo la kweli.
Wale ambao wanatoa mioyo yao kweli
wanaweza kukamilishwa na Mungu.
Bila kusumbuliwa, ikiwa umeshughulikiwa ama kupogolewa,
umekutana na kuvunjika moyo au kushindwa,
moyo wako unafaa kubaki kila wakati,
kila wakati kuwa mtulivu mbele ya Mungu.
Acha chochote kinachokuzuia
kuwa karibu na Mungu,
ama ukae mbali nacho.
Hiyo ni bora kwa maisha yako.
Roho Mtakatifu anafanya kazi kubwa,
Mungu Mwenyewe anawakamilisha watu sasa.
Kama huwezi kuwa mtulivu mbele ya Mungu,
hujarudi katika kiti cha enzi cha Mungu,
hujarudi katika kiti cha enzi cha Mungu.
III
Haijalishi watu wanakutendea vipi,
fanya moyo wako utulie mbele ya Mungu.
Katika mazingira yote unayokumbana nayo,
mateso ama masononeko,
haijalishi ni majaribu gani unayokumbana nayo,
ufanye moyo wako utulie mbele ya Mungu.
Ili kukamilishwa, hii ndiyo njia.
Ili kukamilishwa, hii ndiyo njia.
Acha chochote kinachokuzuia
kuwa karibu na Mungu,
ama ukae mbali nacho.
Hiyo ni bora kwa maisha yako.
Roho Mtakatifu anafanya kazi kubwa,
Mungu Mwenyewe anawakamilisha watu sasa.
Kama huwezi kuwa mtulivu mbele ya Mungu,
hujarudi katika kiti cha enzi cha Mungu,
hujarudi katika kiti cha enzi cha Mungu,
hujarudi katika kiti cha enzi cha Mungu.
kutoka katika "Kuhusu Kuutuliza Moyo Wako Mbele ya Mungu" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza zaidi: nyimbo za dini

0 意見:

Chapisha Maoni