Jumapili, 27 Januari 2019

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Jitoe Kikamilifu Kwa Kazi ya Mungu

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Jitoe Kikamilifu Kwa Kazi ya Mungu

I
Roho wa Mungu anafanya mambo mazuri sasa.
Kazi Yake kati ya Mataifa imeanza.
Kufanya kazi haraka na kwa ufanisi,
Anagawanya viumbe vyote kwa aina.
Itoe nafsi yako yote kwa kazi Yake yote.
Tambua na ujue yote Aliyokufanyia.
Weka nguvu zako zote, ifanye kazi Yake iwe ya ufanisi.
Hili ndilo lazima uelewe, uelewe.
II
Usipigane, kuacha njia ya kujitoa au kutafuta faraja.
Hii inachelewesha kazi ya Mungu, inaharibu mustakabali wako mzuri,
inaleta uharibifu badala ya ulinzi.
Kwa hivyo, hutakuwa mpumbavu?
Mambo ambayo unafurahia leo kwa pupa
ndiyo hasa yanayoharibu mustakabali wako.
Lakini maumivu unayoteseka leo
ndiyo yanayokulinda na kukuweka salama.
Itoe nafsi yako yote kwa kazi Yake yote.
Tambua na ujue yote Aliyokufanyia.
Weka nguvu zako zote, ifanye kazi Yake iwe ya ufanisi.
Hili ndilo lazima uelewe, uelewe.
III
Sikiza na uwe wazi juu ya mambo haya yote,
ili usiingie katika majaribu
ambayo ni vigumu sana kujitoa ndani,
au kuanguka ndani ya ukungu mzito, uliotanda,
kamwe usione jua tena.
Wakati ukungu unatoweka, uko katika hukumu ya siku kuu.
Itoe nafsi yako yote kwa kazi Yake yote.
Tambua na ujue yote Aliyokufanyia.
Weka nguvu zako zote, ifanye kazi Yake iwe ya ufanisi.
Hili ndilo lazima uelewe, uelewe.
kutoka katika "Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza zaidi: nyimbo za injili

0 意見:

Chapisha Maoni