Jumatano, 9 Januari 2019

Umeme wa Mashariki | Matamanio ya Pekee ya Mungu

I
Utukufu wa Yehova, ukombozi wa Yesu,
na matendo yote ya Mungu leo, ndiyo unayoyaona leo.
Maneno ya Roho wa Mungu umeyasikia,
Hekima Yake na ajabu Yake,
Tabia Yake umeijua,
Mpango Wake wa usimamizi umeambiwa.
Ingawa ulizaliwa katika siku za mwisho,
umeelewa yaliyo ya zamani,
ukapitia yaliyo ya siku hizi,
ambayo yametimizwa na mkono wa Mungu.
Matakwa ya Mungu ni yenye maana
kwa sababu Ametoa vingi, vingi umeviona kutoka Kwake.
Mshuhudie Mungu, kama watakatifu wa kale walivyofanya,
hayo ndiyo matamanio ya pekee kutoka kwa moyo Wake,
hayo ndiyo matamanio ya pekee kutoka kwa moyo Wake.
II
Kile ambacho umekiona sio tu
Mungu mwenye upendo, lakini Mwenye haki.
Umeona jinsi kazi ya Mungu ilivyo ya ajabu,
umejua ghadhabu Yake, uadhama Wake.
Umejua pia kuwa wakati mmoja Mungu
alileta ghadhabu Yake kubwa kwa nyumba ya Israeli,
leo hii, imekuja kwako.
Ingawa ulizaliwa katika siku za mwisho,
umeelewa yaliyo ya zamani,
ukapitia yaliyo ya siku hizi,
ambayo yametimizwa na mkono wa Mungu.
Matakwa ya Mungu ni yenye maana
kwa sababu Ametoa vingi, vingi umeviona kutoka Kwake.
Mshuhudie Mungu, kama watakatifu wa kale walivyofanya,
hayo ndiyo matamanio ya pekee kutoka kwa moyo Wake,
hayo ndiyo matamanio ya pekee kutoka kwa moyo Wake.
III
Umeyatambua mafumbo ya Mungu zaidi ya Isaya na Yohana.
Umejua uzuri Wake zaidi ya watakatifu wote wa kale.
Hupokei tu ukweli wa Mungu, njia Yake, na uhai Wake,
lakini maono na ufunuo ni mkubwa zaidi ya Yohana alivyopokea.
Ingawa ulizaliwa katika siku za mwisho,
umeelewa yaliyo ya zamani,
ukapitia yaliyo ya siku hizi,
ambayo yametimizwa na mkono wa Mungu.
Matakwa ya Mungu ni yenye maana
kwa sababu Ametoa vingi, vingi umeviona kutoka Kwake.
Mshuhudie Mungu, kama watakatifu wa kale walivyofanya,
hayo ndiyo matamanio ya pekee kutoka kwa moyo Wake,
hayo ndiyo matamanio ya pekee kutoka kwa moyo Wake.
IV
Umeyaelewa mafumbo zaidi,
umeuona uso wa kweli wa Mungu.
Umepokea hukumu ya Mungu zaidi,
ukajua haki Yake zaidi.
Ingawa ulizaliwa katika siku za mwisho,
umeelewa yaliyo ya zamani,
ukapitia yaliyo ya siku hizi,
ambayo yametimizwa na mkono wa Mungu.
Matakwa ya Mungu ni yenye maana
kwa sababu Ametoa vingi, vingi umeviona kutoka Kwake.
Mshuhudie Mungu, kama watakatifu wa kale walivyofanya,
hayo ndiyo matamanio ya pekee kutoka kwa moyo Wake,
hayo ndiyo matamanio ya pekee kutoka kwa moyo Wake.
kutoka katika "Unajua Nini Kuhusu Imani?" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

0 意見:

Chapisha Maoni