Ijumaa, 25 Januari 2019

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Yajaze Maisha Yako na Neno la Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, ukweli,

Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu | Yajaze Maisha Yako na Neno la Mungu

I
Kuanzia siku hii kuendelea, unapozungumza, zungumzia maneno ya Mungu.
Mnapokusanyika pamoja, acha iwe ushirikiano katika ukweli,
zungumza kuhusu yale unayoyajua juu ya neno la Mungu,
zungumza juu ya yale unayotenda na jinsi Roho anavyofanya kazi.
Unapokuwa na muda, zungumza kuhusu neno la Mungu.
Usizungumze kwa uzembe sana! Eh~
Acha maisha yako yajazwe na neno la Mungu,
kisha utakuwa mwumini wa kweli!
kisha utakuwa mwumini wa kweli!
II
Unapofanya ushirika, Roho Mtakatifu atakupa nuru.
Mtu lazima ashirikiane ili kufanya ulimwengu wa neno la Mungu.
Usipoingia katika hili, Mungu hawezi kufanya kazi Yake.
Usipozungumza, Hawezi kuangaza juu yako. Eh~
Unapokuwa na muda, zungumza kuhusu neno la Mungu.
Usizungumze kwa uzembe sana! Eh~
Acha maisha yako yajazwe na neno la Mungu,
kisha utakuwa mwumini wa kweli! Eh~
Kisha utakuwa mwumini wa kweli!
III
Hata wakati ushirika si wa kina,
hiyo itakuwa sawa, sawa.
Bila ya kina, hakuna kina.
Mchakato lazima ufanyike. Eh~
Kupitia matendo yako, utapata ufahamu wa
mwanga wa Roho Mtakatifu kwenu,
kujua jinsi ya kula na kunywa maneno ya Mungu kwa ufanisi,
kisha uingie katika ukweli wa neno Lake.
Ni kwa mapenzi ya kushirikiana tu
ndiyo utapata kazi ya Roho Mtakatifu!
Unapokuwa na muda, zungumza kuhusu neno la Mungu.
Usizungumze kwa uzembe sana! Eh~
Acha maisha yako yajazwe na neno la Mungu,
kisha utakuwa mwumini wa kweli! Eh~
kisha utakuwa mwumini wa kweli! Eh~
kisha utakuwa mwumini wa kweli! Eh~
Kisha utakuwa mwumini wa kweli!
kutoka katika "Enzi ya Ufalme Ndiyo Enzi ya Neno" katika Neno Laonekana katika Mwili

  kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza zaidi: nyimbo za dini

0 意見:

Chapisha Maoni