Ijumaa, 4 Januari 2019

Ukweli wa Matokeo ya Kupotoshwa kwa Mwanadamu na Shetani

I
Kwa miaka mingi sana mawazo ya watu
ambayo wameyategemea ili kuishi yameiharibu mioyo yao
na yamewafanya waoga, wadanganyifu na wenye kustahili dharau.
Hawana utashi au azimio,
bali ni wenye tamaa, wenye kiburi, na wakaidi,
dhaifu sana kupita mipaka ya nafsi
au kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza,
kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza.
II
Mawazo na maisha yao ni mabovu.
Maoni yao juu ya kumwamini Mungu
ni ya kutisha kweli, magumu kuvumilia.
Ni magumu mno kuyasikia.
Hawana utashi au azimio,
bali ni wenye tamaa, wenye kiburi, na wakaidi,
dhaifu sana kupita mipaka ya nafsi
au kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza,
kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza.
III
Wanadamu ni wenye kuogofya, wenye kustahili dharau na dhaifu.
Hawazichukii nguvu za giza.
Hawahisi upendo kwa mwanga na ukweli,
lakini wao huvifukuza kwa yote wanayoyafanya.
Hawana utashi au azimio,
bali ni wenye tamaa, wenye kiburi, na wakaidi,
dhaifu sana kupita mipaka ya nafsi
au kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza,
kujikomboa kutoka kwa ushawishi,
kujikomboa kutoka kwa ushawishi,
kujikomboa kutoka kwa ushawishi wa giza.
kutoka kwa "Mbona Huko Tayari Kuwa Foili?" katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

0 意見:

Chapisha Maoni