Jumatano, 9 Januari 2019

Mwanadamu Mwenye Uoza Anawezaje Kuishi katika Mwanga

I
Mwanadamu yu mbali zaidi na mwenye kumpinga Mungu
kwa kuwa mwanadamu amezaliwa katika nchi iliyo chafu,
ameharibiwa na jamii,
ametawaliwa na maadili ya kikabaila,
na kufunzwa katika "shule za elimu ya juu;"
moyo wa mwanadamu umevamiwa, dhamiri kushambuliwa
na mawazo ya nyuma, maadili mapotovu,
falsafa mbaya, uhai bure,
desturi, maisha potovu, na maoni mabaya juu ya maisha.
Wanaoishi katika giza
hawatendi ukweli hata wanapousikia,
au kumtafuta Mungu ingawa wanaona kuonekana Kwake.
Wanadamu wenye upotovu na uoza wanawezaje
kupata wokovu na kuishi katika mwanga,
na kuishi katika mwanga?
II
Tabia ya mwanadamu ni mbovu zaidi kila siku.
Hakuna hata mmoja kwa hiari
anataka kuacha chochote kwa ajili ya Mungu,
au kumtii na kutaka kuonekana Kwake.
Badala yake huchagua kufuatilia anasa
chini ya miliki ya Shetani,
kujitolea kwa upotovu 
wa mwili katika nchi ya matope.
Wanaoishi katika giza
hawatendi ukweli hata wanapousikia,
au kumtafuta Mungu ingawa wanaona kuonekana Kwake.
Wanadamu wenye upotovu na uoza wanawezaje
kupata wokovu na kuishi katika mwanga,
na kuishi katika mwanga?
kutoka kwa “Kuwa na Tabia Isiyobadilika Ni Kuwa katika Uadui na Mungu” katika Neno Laonekana katika Mwili

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

0 意見:

Chapisha Maoni